Kenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.
Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.
Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza
Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?
Kenya hoyeeeee?