Ndio maana nasema wao ni jeshi bora kwa makaratasi ila sio tactically au strategically... kwa sababu vita walizopigana rwanda na uganda hao kenya hawawezi toboa kabisa even though rwanda na uganda hawana bajeti au vifaa kma kenya. Kma vifaa ni kigezo marekani isingewahi kupigwa na vietnam au cuba!!!!
Shida sio resources shida is how u maximise ur resources.... hao kenya hta kma wakiwa na vifaaa vingi if they cant maximise them to the full potential then kuwa na vifaa vingi wont have any meanin. Mkuu jeshi ni techniqes,tactic and strategies whether una vifaa or not kma huna tactics nzuri basi huwezi kuwa best army
Ni sawa na utoe mfano eti man city ndio best team in the world kisa ina resources!!! Wachezaji wa gharama na bajeti kubwa ya pesa!!!! Does it make sense to u??? Whats the essence of havin the best army then unashindwa defeat hta rebeles na terrorists!!! Mbona museveni ameweza content al shabaab wasirudi tena uganda??? Mbona rwanda walidhibiti Fdlr and likes ssa whats so big abt kenya???? fikiria upya mkuuu hizi ni statistics tu but jeshi zuri ni tactics yaani few tools but maximum results
Unajifanya manalyst huku unaongea tu matope. Sasa hawa Ugandan, Burundi na Etiopian army, hizo miaka yoote walikuwa Somalia kabla ya Kenya kuingia hiyo vita, ni kitu gani kiliwashinda kutwaa eneo nzima la Mogadishu, makao makuu ya Alshbb Kismayu, territory magharibi mwa Somalia iliokuwa ikikaliwa na Alshbb, kama kweli hawa ndilo jeshi lenye strategies?
Uganda na Burundi huko Mogadishu si zikikuwa zikidhibiti tu mitaa karibu na airport, presidential palace na port? Ethiopia nayo ilijikita eneo ndogo tu karibu na mpaka wao na Somalia, hawkuwa wakifanya mashambulizi ya maana ndani ya Somalia dhidi ya Alshbb.
Mambo yalibadilika pale Kenya ilipoingia vita hivi na Somalia.
1. Maeneo karibu yote, magharibi mwa Somalia ambako Alshbb walikuwa wakicontrol ilitwaliwa- na KDF.
2. Makao makuu ya Alshbb Kismayo ilijokombolewa single- handedly, by the KDF, kupitia bahari, kwa kimombo inaitwa amphibious tactic, jeshi la kwanza kabisa kutumia mbinu hilo Africa.
3. Jeshi la Kenya ulisaidia katika kuwafurusha Alshbb Mogadishu, na kuweka usalama kwenye mji huo, kiasi cha kwamba serikali ya Somalia inayokubalika dunia nzima iliweza kurudi huko kutoka Nairobi kutawala.
4. Jeshi la Kenya kupitia zana zao wamepata kuwaangamiza wanaalshbb wengi sana katika kambi zao. Na ndilo jeshi la Amisom linalotumia zana zenye nguvu zaidi kukabiliana na waasi hawa hujo Sonalia. Uganda iko fighter jets ngapi huko?
Kwanini Kenya ndio ionekane dhaifu ilhali juna majeshi mengine Sonalia, zenye idadi na miaka mingi zaidi ya kuhudumu huko? Hebu kwanza taja accompliahments zao huko?
Kwahivo acha kuropoka upumbavu hapa, unaandika mambo mengi yenye upuzi mtupu.