Kenya yatajwa kuongoza kijeshi nchi za Afrika Mashariki

Mkuu nani kakataa kenya wapo juu hoja yangy hawawawezi rwanda and uganda period ssa unachobisha hasa wwe ni nni?? Na nmeshakupa track record ya wanyarwanda hakuna jeshi limeweza kusafisha DRC congo toka rwanda iondoe majeshi yake mwaka 2003!!! Ndio uwalinganishe na kenya???

Kenya is the best but rwanda and uganda are FAR BETTER
Unajuaje wakati Kenya haijawahi jihusisha na vita vya Congo? Yaani wewe unatumia Congo kama kigezo kudhihirisha Rwanda na Uganda ziko juu ya Kenya.

Kama Kenya iko na superior logistics than Uganda na Rwanda, inamaanisha wana uwezo wa kuapply tactic za kijeshi vyema pengine kuliko majeshi hayo. Kwanini washindwe kukabiliana na waasi wa Congo ama CAR? Uganda iliwamaliza LRA?
Lakini hawajawahi kuhusika na vita huko.

Ndio tumekwambia, Kenya imetwaa maeneo mengi kutoka kwa Alshbb, walifanyaje hivo bila ya tactics? Upuzi hapa wewe unaropokwa.
 
Unaona unavyodhihirisha upumbavu wako? Kwa hivyo njia moja tu ya jeshi kuwa adept at war ni kushiriki vita? Kenya army imesomea mbinu zote za vita, kupitia training by military experts from Britain and America, pamoja na their peace missions abroad ambako walikumbana na vita.

Hivi Tanzania kabla ya kupigana vita na Uganda, iliwahi kuhusika vita wapi ndio wakapata hio experience ya vita kunshinda Amin. Acha upumbavu.

Kenyan Army Training; What the Training Entails

UK-Kenya conduct joint military training - GOV.UK
Mkuu Tanzania mmi sijaitaja kokote maana hyo debate ya TZ vs Kenya hatutoimaliza hapa wwe baki kwenye hiyo ripoti ya GFP inayosema kenya is best army basing on Military budget and manpower plus equipment which i agree 100%

HOWEVER my concern is equipment without tactics is useless na strategists wote duniani wanasema hivyo kuanzia sun tzu mpaka bredford hadi greene sasa ili tufunge mjadala nionyeshe wapi kwenye ripoti wamesema kenya i ana strategy na tactics bora ndio maana ipo top hapa East africa ukinijibu hilo tu ntakuelewa na ntaomba radhi kwa kukupotezwa muda humu

Ila anythin apart from that ni kujidanganya tu!!!

Haya unasema before a war u cant get experience!! Yes hatukuwa na experience na ndio maana kumpiga idd amin ikawa a huge task for us thou we won the war but tulikufa zaidi ya UPDF!!! Amin tulimshinda kwa otger factors mainly population advantage na pia mass support ambayo nyerere alipewa na watanzania kuliko amin ambaye yye alikuwa supported na JESHI pekee so it was more of AMIN vs TANZANIA no UGANDA vs TANZANIA no wonder watu kma kina museveni waifight side to side na WATANZANIA kumtoa idd amin

Ila kma uganda was united i bet vita ingekuwa ndefu sana na huenda tungepukutika kma kuku na ndio maana nasema experience matters so since kenya hamna experience kuliko rwanda and uganda wea on earth tunabishana humu for hours while military scientists walishasema NO EXPERIENCE NO STARTEGY!!!! Because tactics can only be practiced in the battlefield so moja ikishindwa u try the other one so the more the battles the more u develop better tactics sasa uganda wamepigana kwenye misitu, majini huko lake kivu wamepigana jangwani huko sudan ssa how on earth mtawazidi experience na tactics??????

Anyway the choice is urs
 
Unajuaje wakati Kenya haijawahi jihusisha na vita vya Congo? Yaani wewe unatumia Congo kama kigezo kudhihirisha Rwanda na Uganda ziko juu ya Kenya.

Kama Kenya iko na superior logistics than Uganda na Rwanda, inamaanisha wana uwezo wa kuapply tactic za kijeshi vyema pengine kuliko majeshi hayo. Kwanini washindwe kukabiliana na waasi wa Congo ama CAR? Uganda iliwamaliza LRA?
Lakini hawajawahi kuhusika na vita huko.

Ndio tumekwambia, Kenya imetwaa maeneo mengi kutoka kwa Alshbb, walifanyaje hivo bila ya tactics? Upuzi hapa wewe unaropokwa.
Nimejuaje??? Come on mpaka mtakaposhiriki kwenye war theatre nyingi ndio mtakuwa kwenye field ya experience!! Coz tactics haziwezi kiwa better without experience hyo kadanganye wakikuyu na wakamba ila yeyote aliyesoma course unit ya strateguc studies atanielewa vzuri!!!

Narudia tena success ya somalia couldnt be possible without uganda waliosafisha njia so in somalia credit lazma apewe uganda for olaying his part na ndio maana AMISOM troops vikosi vyote viliwekwa chini ya commanders wa uganda!!!! Why uganda!!!!!

SO mkuu hapa hatubishani kenya ina tactics or not ila nachosema if GFP ingeweka kigezo cha tactics its obvious sudan na DRC na kenya couldnt be ahead of either uganda or rwanda na hili kamuulize military expert yoyote atakubaliana na hili!!!!

KENYA is the best but Uganda and Rwanda ARE BESTEST
 
Here is the full list of top 30 African countries:
1. Egypt
2. Algeria
3. Ethiopia
4. Nigeria
5. South Africa
6. Angola
7.Morocco
8.Sudan
9.Libya
10.Democratic Republic of Congo
11.Kenya
12.Tunisia
13.Zimbabwe
14.Zambia
15.Chad
16.Uganda
17.Tanzania
18.South Sudan
19.Ghana
20.Cameroon 2
1.Mozambique
22.Niger
23.Ivory Coast
24.Mali
25.Madagascar
26.Gabon
27.Republic of the Congo
28.Namibia
29.Somalia
30.Central African Republic
African Military Power
The 30 Most Powerful Militaries In Africa 2016 • Africanglobe.net
 
Mkuu Tanzania mmi sijaitaja kokote maana hyo debate ya TZ vs Kenya hatutoimaliza hapa wwe baki kwenye hiyo ripoti ya GFP inayosema kenya is best army basing on Military budget and manpower plus equipment which i agree 100%

HOWEVER my concern is equipment without tactics is useless na strategists wote duniani wanasema hivyo kuanzia sun tzu mpaka bredford hadi greene sasa ili tufunge mjadala nionyeshe wapi kwenye ripoti wamesema kenya i ana strategy na tactics bora ndio maana ipo top hapa East africa ukinijibu hilo tu ntakuelewa na ntaomba radhi kwa kukupotezwa muda humu

Ila anythin apart from that ni kujidanganya tu!!!

Haya unasema before a war u cant get experience!! Yes hatukuwa na experience na ndio maana kumpiga idd amin ikawa a huge task for us thou we won the war but tulikufa zaidi ya UPDF!!! Amin tulimshinda kwa otger factors mainly population advantage na pia mass support ambayo nyerere alipewa na watanzania kuliko amin ambaye yye alikuwa supported na JESHI pekee so it was more of AMIN vs TANZANIA no UGANDA vs TANZANIA no wonder watu kma kina museveni waifight side to side na WATANZANIA kumtoa idd amin

Ila kma uganda was united i bet vita ingekuwa ndefu sana na huenda tungepukutika kma kuku na ndio maana nasema experience matters so since kenya hamna experience kuliko rwanda and uganda wea on earth tunabishana humu for hours while military scientists walishasema NO EXPERIENCE NO STARTEGY!!!! Because tactics can only be practiced in the battlefield so moja ikishindwa u try the other one so the more the battles the more u develop better tactics sasa uganda wamepigana kwenye misitu, majini huko lake kivu wamepigana jangwani huko sudan ssa how on earth mtawazidi experience na tactics??????

Anyway the choice is urs
Kenya haijawahi pigana vita vya Congo, kwahivo hauwezi sema itaweza shindwa huko.

Na kuhusi Amisom kuwa chini ya Ugandan command......je wajua Kenya ilipoingia vita vya Somalia haikuwa ndani ya mwavuli wa Amisom, ilikuwa ikipigana kivyake for 5years?

They were not under the command of those Ugandans.
 
SO mkuu hapa hatubishani kenya ina tactics or not ila nachosema if GFP ingeweka kigezo cha tactics its obvious sudan na DRC na kenya couldnt be ahead of either uganda or rwanda na hili kamuulize military expert yoyote atakubaliana na hili!!!!

KENYA is the best but Uganda and Rwanda ARE BESTEST
Ulikuwa ukibishana ya kwamba Kenya iko na poor tactical skills, vipi tena?
 
Haina tactics COMPARED to rwanda and uganda!!!!! Na nlishatoa mifano

Hoja yangu inasema GFP wakiweka tactics/strategy kma kigezo cha rankings then kenya inakuwa behind rwanda and uganda!!!

Am sayin this simply becoz ALL strategist wa kijeshi wasema SPINAL CORD YA JESHI NI STRATEGY not manpower au weaponry!!!! Na wanaenda mbali wanasema STRATEGY/Tactics RESULTS FROM EXPERIENCE (General Bradford)

Sasa nikuulize wwe ili tufunge mjadala je KDF ina experience kuliko UPDF or RDF??? Just give me a plain answer YES or NO
 
Wow.....Rwanda and Uganda are more powerful than Sweden, they have seen more action, battling rag- tag rebel groups, mostly conprising of child soldiers in the jungles of the deep Africa, using second- rate weapons donated by China or Russia, cos they became too outmoded for their current military needs.

Anyway.........

"Peacekeeping Missions & Other Related Conflicts
In addition to the primary role of the defense of the Republic of Kenya and the secondary role of aid to civil authority, the Kenya Army has participated and continues to participate in international Peace Support Operations. Peace Support Operations within the Kenya Army can be traced back to 1973 when the United Nations requested the republic of Kenya to contribute forces for Peace Support Operations in the volatile Middle East after the 1973 the Israel/Arabs war. Even though Kenya acceded to the UN request the troops were not deployed due to various logistical constraints.
The first comprehensive participation of the Kenya Army in Peace Support operations was in 1979, when the
Commonwealth requested the Republic of Kenya to contribute troops for a Peace Mission in Rhodesia (now Zimbabwe). The Country was then experiencing a liberation war waged by the indigenous population against the regime of Ian Smith which had unilaterally declared independence from the British.
Subsequently, the Kenya Army contributed Officers, towards Peace Support Operations in Chad in 1982 on the request of Organization of African Unity. Kenya has consistently participated in the United Nations Peace-Keeping operations since 1989 when she sent military observers and an infantry battalion to Namibia. Currently, then Kenya ranked number 6 out of the 90 countries who contribute military and civilian police to the UN operations.
Since 1989, [1] Kenya has contributed military observers, staff officers, civilian police monitors and infantry troops. [2] The level of participation has also included force commanders, chief military observers, and chiefs of staff to the following UN and AU Missions:
UNOMIL (Liberia) - Force Commander and Chief Military Observer
UNUMOZ (Mozambique) - Chief Military Observer
UNTAG (Namibia) - Deputy Force Commander
UNPROFOR (Federal Republic of Yoguslavia) - Chief Military Observer
UNMOP (Croatia) - Chief Military Observer
AMISOM (Somalia)
To-date, Kenyan United Nations Peace-Keepers have served in 16 different countries in Africa, the Middle East, the Balkans and Asia. The period of deployment of the personnel has varied from Mission to Mission in accordance with the complexities of each conflict situation. This has so far ranged from one to eight years."

Kenya Army - Wikipedia
 
[

Na sasa hao mastrategists ndio wamesema Kenya haina strategies? Sasa swali ambalo umekata kujibu, Kenya ilinyakuaje majibo na miji ya Somalia bila strategy? Answer that!
 
Sasa mkuu tukienda kwa staili hii na mimi si nitasema....... kama uganda has a low military budget and equipments how was it able to fight in 7 African countries and still winning battles daily???? Si tutakesha hapa mkuu

We jibu hoja kuwa TACTICS is everythin kwenye vita so kwa uganda and rwanda wanazo better tactics than kenya simply becoz of thr track record and experience in multiple war theatres from bandundu to gisenyi and from ogaden to the sweaty desert of chad!!!!

Mkuu kenya is the best sikatai but when compared to other EA countries tactically they are no mathch to the notorious RDF and UPDF
 
Child soldiers?? Rebels??? Hivi wwe unajua uganda and rwanda fought against 13 Nations in the first congo war and second congo which are referred to AFRICAN WORLD WAR!!!!! na still waliweza kuwin the first na almost washinde the second one if not for the intereference of the mighty zimbabwean Airforce!!!!!!! Go read ur history

First Congo War - Wikipedia

Second Congo War - Wikipedia
 
Wanapenda sana story hawa jamaa. Tumepigana vita vingi wao ndio kwanza wameenda Somalia. Wanaweza kulala kambi nzima adui anawapitia wote. Wanafikiria ni kazi ya kutafuta masoko
 
Child soldiers?? Rebels??? Hivi wwe unajua uganda and rwanda fought against 13 Nations in the first congo war and second congo which are referred to AFRICAN WORLD WAR!!!!! na still waliweza kuwin the first na almost washinde the second one if not for the intereference of the mighty zimbabwean Airforce!!!!!!! Go read ur history

First Congo War - Wikipedia

Second Congo War - Wikipedia

Uganda and Rwanda fought against 13 nations, until the mighty Zimbabwe intervened.....? Wow! Perhaps u need to read those two wikipedia accounts yourself.

You have lied.

Yes, child soldiers and lots of weapons rudimentary in comparison with anything Kenya has today were in use in those two wars.

How did Kenya capture so much territory than Uganda in Sonalia with its inferior tactics? Dont sidestep this question again.

Why was Uganda unable to defeat Kony if it could stand against 13 armies.
 
Sasa mkuu tukienda kwa staili hii na mimi si nitasema....... kama uganda has a low military budget and equipments how was it able to fight in 7 African countries and still winning battles daily???? Si tutakesha hapa mkuu

We jibu hoja kuwa TACTICS is everythin kwenye vita so kwa uganda and rwanda wanazo better tactics than kenya simply becoz of thr track record and experience in multiple war theatres from bandundu to gisenyi and from ogaden to the sweaty desert of chad!!!!

Mkuu kenya is the best sikatai but when compared to other EA countries tactically they are no mathch to the notorious RDF and UPDF

Ulisema tactic inatokana na jeshi angalau kuonja vita.....Ukaomba war experience ya jeshi la kenya. Haya, sasa umejionea hadi kwenye vita vya Croatia, Bosnia, Liberia/Sierra Leone Kenya ilifika. Hizo tactics na mafunzo si walipata?
 
Mkuu Tanzania mmi sijaitaja kokote maana hyo debate ya TZ vs Kenya hatutoimaliza hapa wwe baki kwenye hiyo ripoti ya GFP inayosema kenya is best army basing on Military budget and manpower plus equipment which i agree 100%

HOWEVER my concern is equipment without tactics is useless na strategists wote duniani wanasema hivyo kuanzia sun tzu mpaka bredford hadi greene sasa ili tufunge mjadala nionyeshe wapi kwenye ripoti wamesema kenya i ana strategy na tactics bora ndio maana ipo top hapa East africa ukinijibu hilo tu ntakuelewa na ntaomba radhi kwa kukupotezwa muda humu

Ila anythin apart from that ni kujidanganya tu!!!

Haya unasema before a war u cant get experience!! Yes hatukuwa na experience na ndio maana kumpiga idd amin ikawa a huge task for us thou we won the war but tulikufa zaidi ya UPDF!!! Amin tulimshinda kwa otger factors mainly population advantage na pia mass support ambayo nyerere alipewa na watanzania kuliko amin ambaye yye alikuwa supported na JESHI pekee so it was more of AMIN vs TANZANIA no UGANDA vs TANZANIA no wonder watu kma kina museveni waifight side to side na WATANZANIA kumtoa idd amin

Ila kma uganda was united i bet vita ingekuwa ndefu sana na huenda tungepukutika kma kuku na ndio maana nasema experience matters so since kenya hamna experience kuliko rwanda and uganda wea on earth tunabishana humu for hours while military scientists walishasema NO EXPERIENCE NO STARTEGY!!!! Because tactics can only be practiced in the battlefield so moja ikishindwa u try the other one so the more the battles the more u develop better tactics sasa uganda wamepigana kwenye misitu, majini huko lake kivu wamepigana jangwani huko sudan ssa how on earth mtawazidi experience na tactics??????

Anyway the choice is urs
Sio kweli kuwa Tanzania ilipoteza askari wengi kuliko Uganda katika vita vya Uganda kumng'oa Iddi Amin mwaka 1978,
Kasome vizuri historia,
NB: Jaribu kupitia kitabu "War in Uganda"
 
Hizi ndio comment za kiungwana sasa na sio kuleta uzalendo mbuzi kila wakati.
Hata mimi nakubaliana na MKWEPA KODI, wametuzidi hata kipigo toka kwa wake zao, these guys are the best in every argument, I always see them in nairaland bragging about their superiority complex.
 
Hii yako ndio inaitwa exercise in futility. Ni kama kukaa chini kubishana North Korea wana silaha za kisasa kuliko USA.
Usijiaibishe hapa Jamiiforums.
Inabidi ucombine defense budget za East Africa yote ndio ufikie Kenya, na unajua hivo. When you argue with a fool you'll be thought to be a fool too.
Shida kubwa niliona ya Watanzania wengi ni 'blind patriotism'. Ata ukiletewa facts zote bado unalia Tanzania namba moja.
Na hii propaganda ya CCM na wafuasi wake ndio sababu kubwa ya uzembe huko Tanzania.

Mmefahamishwa kwamba Tanzania ya viwanda imeipita Kenya. Ati KDF wameshindwa na Alshabab, je, TPDF itawafanyia nini. Mara bomba la mafuta tumepata Kenya ikabaki chupri.
Raia wenu wazembe ajabu. Wakishaambiwa wameipita Kenya kwa jambo fulani, ata hawawezi enda kazi.

Kenya watu wa bidii na hii inaonyesha kila mahali.. Entreprenuership, regional leadership na hatimaye kwenye size ya budget ya taifa.
Usione simba amenyeshewa ukadhani ni paka. Ile siku TPDF italeta nyenyenye ndio utajua hizo vifaa zao za 'kisasa' hazitoshi mboga.
Kenya kutoka kitambo bajeti yake ya defense ni kubwa kuliko Tanzania. Stockpile yenye iko hapa usidhani ni mchezo. Na usidhani ati kwa sababu silaha iletengenezwa 80s haiwezi angamiza.
Kumbuka ata nuclear arsenal za US na Russia zilitengenezwa miaka ya 60s na 70s na zinaweza maliza dunia nzima.
Hotuba ya jana ya JPM ilinifurahisha sana, natamani ungeisikiliza ili mzidi kufura kwa majigambo.
 
Hata mimi nakubaliana na MKWEPA KODI, wametuzidi hata kipigo toka kwa wake zao, these guys are the best in every argument, I always see them in nairaland bragging about their superiority complex.
lo.. Kumbe na wewe huwa umewahi kuiona hiyo battle ya kenyavsnigeria.

Hata hivyo hawa jamaa hawana tofauti sana na wanaijeria. They have a lots similarities tribalism,arrogance, hostility,Internet scamming!! Na pia wana jua sana kupambana na life. Wakikutanaga huwa pananoga sana.
 
Back
Top Bottom