Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Mkuu, unavyosema hivyo sijuwi unawawakilisha wakina nani! Sisi wakulima tunahitaji soko lisilo na vikwazo ili angalau bei ichangamke.Tunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.