Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweni wakiacha sisi tuna shida gani? Tutakula wenyewe au tutauza nchi zingine.Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya...
So because a certain kenyan regulatory says so Tz must believe? Who trusts kenyan experts at the first place? Hata wewe tu huna imani with the so called experts, right?Agriculture and food authority of kenya ni experts kwa hii field wewe unabisha kwa lipi?
You funny guy nah, imagine mimi nikuuzie kitu feki halafu niwe mzembe tena?Hapa nakiri
Mkenya mfisadi...
Mtanzania mzembe....
Hii ndio inatuhatarisha kwetu Kenya na ndio maana mnaingia na corona mkitukoholea kwa sababu watu wetu pale mkapani mafisadi ya kijinga, huniuma sana walahi.
Wapi takwimu?Kweli kabisa Tanzania imeathirika saana na sumu kuvu " Aflatoxin". Hili tatizo kwa Tanzania ni kubwa .Hata wizara ya kilimo inajua.
Nyumbu katika ubora wako,tena wamesisitiza mahindi ya Tz ni utopolo mtupu
Kilimo cha mahindi ukibahatika kuona haki hutokaa ule ugali hasa hasa dona...
Nahisi kukoboa kwanza kunapunguza sumu mkuu japo inaweza kubakia ila ni kidogo hivyo sembe inaweza kuwa salama kidogoDuh! Na nilivyo mpenzi wa ugali dona, sasa suluhu nini, hivi kabla kusaga mahindi kuna uwezekano wa mimi kufanya jitihada za kuondoa hiyo sumu?
Ha ha ha,naona watanzania wamejigeuza kuwa wakenya ,sawa agizeni kutoka mexico ila principle za uchumi zitawanyoosha tu, kuingia gharama kwa sababu ya wivu wa kike itawagharimu wananchi wenuTunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.
Nikweli kabisaUnauhakika kwa hilo, sio kila unachoambiawa unakubalitu.
Wakenya sio watu wa kuaminika moja kwa moja, hawatutakii Mena hao viumbe.
Yawezaikawa kweli au mbinu za kimkakati tu
mataga umeajiandaa kudungwa sindano ya chanjo utosini?Nyumbu katika ubora wako,
Mkuu achana na wivu wa kike wa wakenya, mahindi yetu ni mazuri mno,mahindi kama ya katavi,ruvuma,rukwa yana quality zuri kweli, hata hivyo nchi zinazotunguka karibia zote wanahitaji mahindi yetu, wakenya wana jambo laoNahisi kukoboa kwanza kunapunguza sumu mkuu japo inaweza kubakia ila ni kidogo hivyo sembe inaweza kuwa salama kidogo
Hawana plan B hawa, Kenya ni kati ya serikali za hovyo sana na zenye rushwa iliyokomaa kuanzia kwenye mizizi ya wakikuyu,Nikweli kabisa
Inaweza kua kweli au ni vita vya kiuchumi ....mpaka kenya waban kitu kinacho wafanya waishi basi jua wamesha pata plan B....
Siku hizi wanaagiz a mahindi mexicoHata hivyo njaa haina baunsa
Sumu inyozungumzwa hapa sio pesticides au za kuhifadhia mahindi, ile ni volatile na hazina Madhara kiasi hichoWakenya ni wasenge ila ni kweli kabisa sisi tunagifadhi mahindi kwa sumu wale wapenda dona kuweni makini.