Mpaka wamefikia uamuzi huo ina maana hawajui watakula nini?...hebu fikiria tenaKenya watakula nini sasa maana bila Tz chakula hawapati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka wamefikia uamuzi huo ina maana hawajui watakula nini?...hebu fikiria tenaKenya watakula nini sasa maana bila Tz chakula hawapati
Madai yanaweza kuwa kweli. Lakini si wangeiambia serikali kuwa bidhaa hii ina mapungufu fulani yarekebishwe?Kenya watakula nini sasa maana bila Tz chakula hawapati
Mtakana maneno yenu siku moja. Kwenye ndege mlianza hivihivi, baadaye kijanja mkaifungulia.Tunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.
hawa nao ni mabingwa wa kuanzisha vita wasiyoweza kupigana.
Sasa hapo nani mzembe?Inauma, maana watu wetu wanakufa kwa saratani halafu mijinga inapokea hela ili ihakikishe ubora wa kile tunanunua kutokea kwenu huko, na kwa mlivyo wazembe mnasindika magunia tu, wala hamkai mfikirie au kutumia ubongo.
Ukweli kiaje? umeenda Maabara na kujiridhisha au unashabikia tuTo hell na vita vya uchumi kama hii habari ni ya ukweli Watanzania na Waganda itabidi tuwe makini na mahindi tunayokula.
Kweli nyani haoni kundule, juzi tu mmetengwa na wasomali hapo mmepiga ukunga sijawahi ona, kisa wamekataa msiwauzie madawa ya kulevya (miraa/mirungi), eti leo mnatuwekea ban na nchi yenyewe mliyonayo kavu nusu ya jangwa. Aya tuone mwisho utakuwa vipi, na ukweli mara nyingi huwa mnaasisi vita nyie na mnasarenda nyie, very fun you poor Kenyans, endeleeni kumeza astra zeneca enyi watiifu wa mabeberu na siku zenu zinahesabika.hawa nao ni mabingwa wa kuanzisha vita wasiyoweza kupigana.
africa nzima tunaweza kuwatenga kwa upuuzi wao.
ndio maana imeanza kupitwa pitwa kiuchumi kizembe sababu ya ujinga ujinga huu.
mkuu reply sio yangu hii nina uhakika.Kweli nyani haoni kundule, juzi tu mmetengwa na wasomali hapo mmepiga ukunga sijawahi ona, kisa wamekataa msiwauzie madawa ya kulevya (miraa/mirungi), eti leo mnatuwekea ban na nchi yenyewe mliyonayo kavu nusu ya jangwa. Aya tuone mwisho utakuwa vipi, na ukweli mara nyingi huwa mnaasisi vita nyie na mnasarenda nyie, very fun you poor Kenyans, endeleeni kumeza astra zeneca enyi watiifu wa mabeberu na siku zenu zinahesabika.
What is the capacity of your local farmers, provided that ugali is a staple food to Majority of you Kenyans,My response copied from Nai Dar battle;
Biashara ya mahindi naelewa, wanabiashara wa Tz na Uganda they don't dry maize sufficiently, hata ukinunua from their farmers directly then ukienda kuuza direct kwa millars ama serials board Kenya bila kukausha tena, yakipimwa levels za aflatoxins huwa juu, zaidi ya viwango, people give bribes ili mahindi yachukuliwe, wakenya ndio wanatangeneza pesa zaidi kutoka kwa mahindi ya Tz na Ug, wakulima wao ni fukara wa hand to mouth hawana ability ya kufunya biashara Kenya, hapa sana sana ni middlemen na cartels wa kenya na Tz ndio wamefungiwa, pia ni tactic ya kukomboa mkulima wa Kenya kutokana na wanabiashara wajanja wa Kenya who buys cheap maize from Ug n Tz and sell slightly cheaper than market price, wana angusha bei, not Tanzania, na bado itaingia kimagendo Kama kawaida, especially from Uganda, gunia moja unapata na Ksh 700 to 1k from poor farmers. Kenya market price ni Ksh 2500 to Ksh3500, inategemea na season. Good deal. Ubepari, mwenye nguvu mpishe. Hapa watanzania are reading politics, but ni economics tu, effects za capitalism kwa mnyonge, inabidi serikali imzingire mkulima from aggressiveness ya wanaojituma. Watanzania na Waganda wangekua wajanja wangekua mbali, but unfortunately hawana frame. Mahindi itaingia tu bado, if you've ever been around the borders uone vile biashara inafanywa utaelewa. Naona mitanzania humu wenye blind patriotism wakimwaga povu bila kufikiria ama kuelewa economics behind hii biashara ya mahindi.[emoji28][emoji23][emoji23]
Ukweli kiaje? umeenda Maabara na kujiridhisha au unashabikia tu
Wasted spermSilinilisikia juzi Kenyatta kaongea na Biden? labda ndo mwendelezo wa vikwazo ili amfurahishe beberu mwandamizi, lakini nadhani bado ni malipizo ya kulikosa bomba la Ohima maake alimshawishi sana M7 na mzee akamkataa kidesign, btw Congo na Zambia kuna soko la kufa mtu, nafikir na S.Sudan na Somalia kikubwa waache magari yetu yapite.
Msisahau kuwa nyie ndo mlikuwa kikwazo kikubwa kwenye anguko la EAC, na sasa wakati bunge la EA linajadili namna ya kurejesha matumizi ya sarafu moja kama jumuiya naona vikwazo lukuki mkiweka, kweli mmelaaniwa.Kweli nyani haoni kundule, juzi tu mmetengwa na wasomali hapo mmepiga ukunga sijawahi ona, kisa wamekataa msiwauzie madawa ya kulevya (miraa/mirungi), eti leo mnatuwekea ban na nchi yenyewe mliyonayo kavu nusu ya jangwa. Aya tuone mwisho utakuwa vipi, na ukweli mara nyingi huwa mnaasisi vita nyie na mnasarenda nyie, very fun you poor Kenyans, endeleeni kumeza astra zeneca enyi watiifu wa mabeberu na siku zenu zinahesabika.
Sasa hapo nani mzembe?
Kweli kabisa Tanzania imeathirika saana na sumu kuvu " Aflatoxin". Hili tatizo kwa Tanzania ni kubwa .Hata wizara ya kilimo inajua.Ukweli kiaje? umeenda Maabara na kujiridhisha au unashabikia tu