Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

Sumu inyozungumzwa hapa sio pesticides au za kuhifadhia mahindi, ile ni volatile na hazina Madhara kiasi hicho,
Sumu inayozungumzwa hapa ni aflatoxin inayozaliswa na fungus ikiwa mahindi hayakukaushwa vizuri, hayakuwa treated au yamekuwa contaminated na hao fungus wakati wa storage au transportation.
Hapo nimekulewa vizuri shukrani mkuu
 
South Africa wako na protectionism policy kutoka zamani, hapa kwao ni kawaida, they cannot tolerate competition. Not the first time, na sio kwa Tanzania pekee.
Hawa inabidi tuwanyoroshe, ila itakuwa ni kuwaonea tu maana labda wanapelekeshwa ili tusipatane nao. Ubaguzi ni mbaya sana asee...

Wao wanajaza mipombe, Apples na juice kila mahali huku lakini wao parachichi tu wanazuia. Huo sio uungwana maana Africa needs to stand up and stay together as one.
 
hawa nao ni mabingwa wa kuanzisha vita wasiyoweza kupigana.

africa nzima tunaweza kuwatenga kwa upuuzi wao.
ndio maana imeanza kupitwa pitwa kiuchumi kizembe sababu ya ujinga ujinga huu.
Naona wachache wenye uchumi mkubwa huko SA ambao ni weupe ndio wanaendesha hizi sera za kibaguzi ili kutupambanisha na hao weusi wenzetu.
 
Hii habari ni ya kweli , kutokana na namna tunavyohifadhi mahindi yetu bila kufuata kanuni nzuri , aflatoxin au kwa kiswahili Sumu kuvu ni Sumu ambayo kutokana na aina flani ya fungus (Aspergillus flavus and Aspergillus parasiticus) ambao hukua pole pole kwenye nafaka na nuts ambazo zimehifadhiwa zikiwa hazijakauka vizuri au zikiwa kwenye unyevu

How is dangerous
Aflatoxin B1, which is a genotoxic hepatocarcinogen, which presumptively causes cancer by inducing DNA adducts leading to genetic changes in target liver cells. AFB1 is metabolized by cytochrome-P450 enzymes to the reactive intermediate AFB1-8, 9 epoxide (AFBO) which binds to liver cell DNA, resulting in DNA adducts.

How to prevent aflatoxins
Sorting insect- damaged cobs and cobs having poor husk covering can reduce aflatoxin contamination. Apart from this, winnowing, washing before cooking, and dehulling of maize grains are effective in achieving significant aflatoxin and other mycotoxins removal
 
Kwani tunayowauzia wao na tunayokula sisi ni tofauti?
Mbona wasitutahadharishe
 
Hakuna sumu yeyote, mahindi yenyewe hata mbolea ya viwandani hayatumii, sumu itoke wapi

Sababunya kishamba, siku wakiwa na njaa utasikia wanalilia Tanzania ipeleke mahindi, wakiwa na njaa sumu inakimbia?
the real issue hapa ni kama kweli mahindi kutoka uganda na Tanzania zina level ya juu ya hizi mycotoxins....tuache hizi shallow minds kuona kila kitu ni vita. In civilized societies matters health wanazichukulia serious sana
 
Nao wajinga.

unakubalije kusombwa sombwa tu ukamilishe malengo ya wengine!!!
Hio ndio changamoto kubwa sasa. Shida sana kwa wengi kujitambua.

Wengi wapo tu sababu wapo.
 
Hawa jamaa waliagiza tani nyingi sana za mahindi toka Mexico nafikiri mwaka jana mwezi wa kumi.Kauli za mjomba pia zilichangia ile wakulima wauze bei wanayoitaka.Jamaa wakajiongeza wakaenda Mexico.Hiyo ya sumu ni cause of a cause”kijisababu ndani ya sababu”.Nasubiri retaliation yetu itakuaje!Ili wapiganapo tembo ziumiazo ni nyasi.
 
Habari muungwana.

Hivi karibu kuna habari imetoka juu ya nchi jirani ya Kenya kupiga marufuku ya kutoagiza ama kununua mahindi kutoka katika nchi ya Tanzania na Uganda. Kitendo hiki tutake tusitake ni pigo kubwa kwa wakulima wetu.

Serikali yetu kupitia kwa mtawala wetu iliweza kujinasibu kuwa italisha nchi ambayo imejifungia kwa Korona sasa imepeperuka.
Kenya inatarajia kupata mahindi kutoka Zambia ambayo miaka ya nyuma ilikuwa inategemea Mahindi kutoka Tanzania.

Wakaamua kuacha siasa sasa hivi wanalima na kuuza akiba. Endapo tutashindwa kucheza karata zetu vizuri Wakulima wetu watarajie kulia na kusaga meno. Je Kenya wanalipiza kisasi cha kuchomewa Vifaranga ama.

FB_IMG_1615017636780.jpg
 
Watanzania tuzitumie hizi mvua kulima kwa bidii ili tuwauzie mazao hao waliojipiga lockdown, sasa hawataki kununua kwetu, watakuwa vibaraka wa mabeberu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom