Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

Siyo kweli, Wakenya waliacha kitambo kutegemea mahindi ya Tz wakawa wanachukua Zambia, toka hapo bei yetu ikaporomoka kutoka 1000/kg mpaka 300[emoji22]
Wanayapitisha wapi hayo mahindi ya Zambia?, mbona hatuoni yakipita Tanzania au wanasafirisha kwa ndege?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitakachopotea Tanzania
Energy gained = energy lost.

Kwa kifupi equation imebalance.
 
Silinilisikia juzi Kenyatta kaongea na Biden? labda ndo mwendelezo wa vikwazo ili amfurahishe beberu mwandamizi, lakini nadhani bado ni malipizo ya kulikosa bomba la Ohima maake alimshawishi sana M7 na mzee akamkataa kidesign, btw Congo na Zambia kuna soko la kufa mtu, nafikir na S.Sudan na Somalia kikubwa waache magari yetu yapite.
Congo na zambia soko la kufa mtu la mahindi????.

Mkuu umepotosha sana, zambia wanalima mahindi kwa kiwango kikubwa mnooo,....sisi tunachoweza kuuza zambia ni viazi na mchele kwa sasa! habari ya mahindi ukanda wa kusini sahau kabisa
 
Hawa wakenya dawa yao kuwa fix tu nasisi tuangalie bidhaa zao zinazo trend sana kama sabuni ya jamaa tupige stop isije na maziwa yao watakuja wenyewe wanatembea na magoti au nasema uongo ndugu zanguuuuu
 
Duh! Na nilivyo mpenzi wa ugali dona, sasa suluhu nini, hivi kabla kusaga mahindi kuna uwezekano wa mimi kufanya jitihada za kuondoa hiyo sumu?
Mahindi ya kusaga ndio worse. Angalau unga wa pakiti umepimwa na KEBS ila mahindi ya mtaani haijapimwa na yeyote. Kuna documentary ya Dennis Okari kuhusu Aflatoxin, ipo youtube. Aflatoxin imeaffect maeneo ya ukambani sana na hao wanasaga mahindi maana hawawezi kuafford unga wa pakiti. Watu huwa wanakufa kwa sababu ya kula sumu ya aflatoxin
 
Nategemea Wizara ya Kilimo ije na majibu ya maana na kwa haraka (na sio majibu tu yenye propaganda) bali majibu ya uchunguzi kwa kushirikiana na waKenya na vipimo vyao..

Sababu kama ni unfit for human consumption kwa Wakenya hata sisi ni Binadamu..., thus tuangalia ni kwanini hizo levels zinakuwa nyingi na how to minimize it...

Majibu ya kitaalamu kabla ya majibu ya Kisiasa yanatakiwa....
 
Nategemea Wizara ya Kilimo ije na majibu ya maana na kwa haraka (na sio majibu tu yenye propaganda) bali majibu ya uchunguzi kwa kushirikiana na waKenya na vipimo vyao..

Sababu kama ni unfit for human consumption kwa Wakenya hata sisi ni Binadamu..., thus tuangalia ni kwanini hizo levels zinakuwa nyingi na how to minimize it...

Majibu ya kitaalamu kabla ya majibu ya Kisiasa yanatakiwa....
Utasikia tuna majirani wanaotumiwa na mabeberu, katika hii vita dhidi ya uzalendo....
Makofi pwaah pwaah!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mabeberu sasa wanaitumia Kenya vibaya ili ku-destabilize ukanda wa Afrika Mashariki & Kati. Ila tutawachapa tena na watashindwa kama kawaida ya wafa-maji. Uhuru! Uhuru!! Uhuru!!! Nimekuita mara tatu.
 
Nategemea Wizara ya Kilimo ije na majibu ya maana na kwa haraka (na sio majibu tu yenye propaganda) bali majibu ya uchunguzi kwa kushirikiana na waKenya na vipimo vyao..

Sababu kama ni unfit for human consumption kwa Wakenya hata sisi ni Binadamu..., thus tuangalia ni kwanini hizo levels zinakuwa nyingi na how to minimize it...

Majibu ya kitaalamu kabla ya majibu ya Kisiasa yanatakiwa....
Kenya ina tabia mbaya ya kijahili sana. Wanatengeneza game wenyewe, halafu wanalichezesha viungani mwao. Just mwishoni mwa mwaka jana, Vice President Dr Ruto alifanyiwa hivyohivyo.

Walipomwona anazidi kuwawini watu wengi wanamfuata kwa harakati zake za utoaji misaada na esp. chakula kwa wahitaji, they literally put sumu kwenye vyakula na kuvigawa kama msaada. Watu walipokufa na wengine kuathirika, all blames kwa VP. We know it. Hao Wakenya ni watoto sana kwa Bulldozer.
 
Mwambie pia kuwa Zambia inakuja kuchukua soko kubwa la sukari na Mihogo.
Mkuu acha tu, humu nimegundua kuna watu wanachangia ila hawajui hata shamba kukoje....!

Sisi tunaolima ndio tunajua upepo unavoenda, mfano saizi angalia mpunga umedoda huko kwenye maghala alafu anakuja mjinga na blah blah zake!
 
Kenya ina tabia mbaya ya kijahili sana. Wanatengeneza game wenyewe, halafu wanalichezesha viungani mwao. Just mwishoni mwa mwaka jana, Vice President Dr Ruto alifanyiwa hivyohivyo. Walipomwona anazidi kuwawini watu wengi wanamfuata kwa harakati zake za utoaji misaada na esp. chakula kwa wahitaji, they literally put sumu kwenye vyakula na kuvigawa kama msaada. Watu walipokufa na wengine kuathirika, all blames kwa VP. We know it. Hao Wakenya ni watoto sana kwa Bulldozer.
Even a Broken Clock is Right twice a Day....

Kwahio sio mbaya tukafanya uchunguzi zaidi kwa manufaa ya raia wetu..., si kuna log za mizigo fulani fulani na sehemu yalipotoka sio vibaya kama wakazunguka kwa hao wakulima baadhi na kuangali labda kuna some pesticides wanatumia au tatizo lipo wapi...

Ndio maana nikasema waKenya washirikishwe ili kuona / kubaini hao unaowaita watia sumu ili nao washughulikiwe...., sababu maharamia ni maharamia tu no matter kama ni wananchi wenzako au majirani zako.... When its Profit at All Costs..., Human Lives plays a Second Fiddle....

Pia inawezekana mizigo kabla ya kuondoka hapa sampuli zipimwe na sample ipelekwe kule..., hili sio tatizo la Afrika tu...., Amini nakwambia tunalishwa makapi sio ya kawaida...
 
congo na zambia soko la kufa mtu la mahindi????.


mkuu umepotosha sana, zambia wanalima mahindi kwa kiwango kikubwa mnooo,....sisi tunachoweza kuuza zambia ni viazi na mchele kwa sasa! habari ya mahindi ukanda wa kusini sahau kabisa
Ndiyo maana ya balanced equation
 
Back
Top Bottom