Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Wapigwe spana hawa bila huruma, wasituchezee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapoje kwani mkuu hayo mahindi? TudadavulieUmenena kweli kabisa. Serikali yetu ilifanya kuna kipindi ilikosea sana, yaani maafisa kilimo wale wa mpaka vijijini waliondolewa, kwa sehemu kubwa kwa sababu ya maslahi binafsi ya wanasiasa wachache, so wakulima wameendelea kulima with no utalaamu na uhifadhi na matokeo yake ndiyo hayo.
Wewe cheki tu hata Tanzania, yaani cancer mpaka vijijini, kuna hiki kituo cha ufafiti ya kilimo ukiwatembelea hakika utaacha kula ugali. Mimi tangu nijue hilo nilishaacha kula ugali wa mahindi ni muhogo kwenda mbele.
Nadhani wizara ya kilimo waweke mkakati maalumu, wawarejeshe au waajiri maafisa kilimo waende vijijini wasaidie wananchi namna ya kuvuna na kuhifadhi chakula. Yaani hata kwenye maghala yetu ni tatizo.
Kuna jamaa yangu mzigo wake wa tani moja ya karanga ulizuiliwa kuingia UK, ikabidi urudi bongo na kuuteketeza.
Mkuu kuna kitu kinaitwa sumu kuvu, ni hatari sana. Waambie kama una ndugu kijijini wakikuta mahindi yameweka ukungu wasile kabisa watupe, yaani yakikauka yanakuwa na rangi kama ukungu au rangi inabadilika, siyo chakula hayo. Wengi wamekufa huko vijijini. Kibaya wazungu walituletea hizo mbegu, zamani ilikuwa ukivuna mahindi mbegu unaweka nowdays eti unaenda kununua. kenya walichokifanya ni sahihi kabisa wala siyo ugomvi, let us put together our house before condeming others, tunapaswa kuchukua hatua kwa hilo la sivyo kizazi kinaangamia. Wewe kama unajifanya kula eti ugali, my friend your life is at danger. Kula ndizi au muhogo, safe safe ndizi, viazi etcYapoje kwani mkuu hayo mahindi? Tudadavulie
Tamko la Naibu Waziri wa Kilimo Tanzania
Wala hawatokusikiza ,Wala haitatokea wakafaulu kibiashara...Watanzania wenzangu tuzingatie kanuni hizi tatu.
1.GDP ya Kenya ni kubwa kuliko ya Tanzania.
2.The Customer is always right.
3.Tajiri au mwenye pesa hanuniwi.
..Tukielewa kanuni hizo tatu hapo juu hatutapata shida ku-deal na ndugu zetu wa Kenya.
Vitisho na ubabe wa Magufuli unawaumiza wakulima wa Tanzania. Kila mara mimi huambia watanzania humu the buyer is the boss hawasikii. Wao zao ni kujidai eti wanatulisha eti wakiacha kutuuzia tutakufa njaa. Ona sasa. Wengi humu hawaelewi economics kabisa.Siyo kweli, Wakenya waliacha kitambo kutegemea mahindi ya Tz wakawa wanachukua Zambia, toka hapo bei yetu ikaporomoka kutoka 1000/kg mpaka 300[emoji22]
Nani katupita kiuchumi? Angola iliyokua mbele yetu, tumeipiku. Morocco tumeikaribia. Ethiopia iliyokuwa mbele yetu, tumeipiku. Wacha bangi. 🤣 🤣 🤣hawa nao ni mabingwa wa kuanzisha vita wasiyoweza kupigana.
africa nzima tunaweza kuwatenga kwa upuuzi wao.
ndio maana imeanza kupitwa pitwa kiuchumi kizembe sababu ya ujinga ujinga huu.
We don't need maize from Ug and Tz, we need maize and we can get it from wherever we choose. Ndio maana mnalialia. 🤣 🤣What is the capacity of your local farmers, provided that ugali is a staple food to Majority of you Kenyans,
By the way, bei ya gunia la mahindi kwa mkulima 100kg Tz ni 2500-3500ksh depending with the season,
Hiyo 700ksh Labda Uganda.
From what I know Kenya will always need maize from Tz and UG.
Wewe uliacha akili kwa kibeti ama huna? The authority is speaking for Kenyans, not Tanzanians. Tanzanians are free to eat the maize if they wish to otherwise Kenyans won't or did you expect Kenyans to rely on Tanzanian authority?So because a certain kenyan regulatory says so Tz must believe? Who trusts kenyan experts at the first place? Hata wewe tu huna imani with the so called experts, right?
Besides kama sio janjajanja where were they for decades mmekuwa mkila mahindi from Tanzania.
Remener you guys sorely rely on tz for grains, legumes, fruits, spices etc.
Siku Kenya italilia mahindi kutoka Tanzania niambie nikutumia thao tano.Hakuna sumu yeyote, mahindi yenyewe hata mbolea ya viwandani hayatumii, sumu itoke wapi
Sababunya kishamba, siku wakiwa na njaa utasikia wanalilia Tanzania ipeleke mahindi, wakiwa na njaa sumu inakimbia?
Kwan wao walitushirikisha mkuu?Even a Broken Clock is Right twice a Day....
Kwahio sio mbaya tukafanya uchunguzi zaidi kwa manufaa ya raia wetu..., si kuna log za mizigo fulani fulani na sehemu yalipotoka sio vibaya kama wakazunguka kwa hao wakulima baadhi na kuangali labda kuna some pesticides wanatumia au tatizo lipo wapi...
Ndio maana nikasema waKenya washirikishwe ili kuona / kubaini hao unaowaita watia sumu ili nao washughulikiwe...., sababu maharamia ni maharamia tu no matter kama ni wananchi wenzako au majirani zako.... When its Profit at All Costs..., Human Lives plays a Second Fiddle....
Pia inawezekana mizigo kabla ya kuondoka hapa sampuli zipimwe na sample ipelekwe kule..., hili sio tatizo la Afrika tu...., Amini nakwambia tunalishwa makapi sio ya kawaida...
Hivi jirani yako kama ni mchawi akikwambia kwako kuna panya amewaona utapuuzia sababu ni mchawi au utamuuliza amewaona wapi ili mosi kama ni mwongo umshauri ajirekebishe na kama ni kweli utafute paka ?Kwan wao walitushirikisha mkuu?
Miaka mingapi wameagiza mahindi toka Tz na tulivyowapiga ban wakalia sana....sasa wamepata toka Mexico ndo wanajidai ya Tz yana sumuthe real issue hapa ni kama kweli mahindi kutoka uganda na Tanzania zina level ya juu ya hizi mycotoxins....tuache hizi shallow minds kuona kila kitu ni vita. In civilized societies matters health wanazichukulia serious sana
Mwaka gani mlituban tukalia? Acheni kuwaskiza wanasiasa sana. 🤣 🤣 🤣Miaka mingapi wameagiza mahindi toka Tz na tulivyowapiga ban wakalia sana....sasa wamepata toka Mexico ndo wanajidai ya Tz yana sumu
Tanzania ni masikini jeuri, huwa tunanyamaza pumbavu anadhani basi yeye ni mbabe[emoji23][emoji23], hatupigani na ngurue kwa matope, tuna mpembeleza kisha tuna mkula.[emoji23][emoji23][emoji23].,Mwaka gani mlituban tukalia? Acheni kuwaskiza wanasiasa sana. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]