My response copied from Nai Dar battle;
Biashara ya mahindi naelewa, wanabiashara wa Tz na Uganda they don't dry maize sufficiently, hata ukinunua from their farmers directly then ukienda kuuza direct kwa millars ama serials board Kenya bila kukausha tena, yakipimwa levels za aflatoxins huwa juu, zaidi ya viwango, people give bribes ili mahindi yachukuliwe, wakenya ndio wanatangeneza pesa zaidi kutoka kwa mahindi ya Tz na Ug.
Wakulima wao ni fukara wa hand to mouth hawana ability ya kufunya biashara Kenya, hapa sana sana ni middlemen na cartels wa kenya na Tz ndio wamefungiwa, pia ni tactic ya kukomboa mkulima wa Kenya kutokana na wanabiashara wajanja wa Kenya who buys cheap maize from Uganda Tanzania and sell slightly cheaper than market price, wana angusha bei, not Tanzania, na bado itaingia kimagendo Kama kawaida, especially from Uganda, gunia moja unapata na Ksh 700 to 1k from poor farmers.
Kenya market price ni Ksh 2500 to Ksh3500, inategemea na season. Good deal. Ubepari, mwenye nguvu mpishe. Hapa watanzania are reading politics, but ni economics tu, effects za capitalism kwa mnyonge, inabidi serikali imzingire mkulima from aggressiveness ya wanaojituma. Watanzania na Waganda wangekua wajanja wangekua mbali, but unfortunately hawana frame.
Mahindi itaingia tu bado, if you've ever been around the borders uone vile biashara inafanywa utaelewa. Naona mitanzania humu wenye blind patriotism wakimwaga povu bila kufikiria ama kuelewa economics behind hii biashara ya mahindi.[emoji28][emoji23][emoji23]