Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
HAKUNA UMAANA WOWOTE WA SHIRIKISHO LA AFRIKA YA MASHARIKI IF POSIBLE JUMUIYA HII IVUNJWE TU BADO HATUJAKOMAA KUENDESHA JUMUIYA ZA NAMNA HII SEREKALI ZETU ZINAKOSA HELA NYINGI SANA ZA VISA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True niliwahi sikia Waziri anazungumzia na wakasema wamejenga vihenge kusaidia kukausha mahindi na nafaka zingineKweli kabisa Tanzania imeathirika saana na sumu kuvu " Aflatoxin". Hili tatizo kwa Tanzania ni kubwa .Hata wizara ya kilimo inajua.
Hapa ni muhogo au mchele au mtama au ngano ,mahindi si salama tenaDuh! Na nilivyo mpenzi wa ugali dona, sasa suluhu nini, hivi kabla kusaga mahindi kuna uwezekano wa mimi kufanya jitihada za kuondoa hiyo sumu?
Ni kula.sembe ila.generally kupunguza ulaji wa ugaliNahisi kukoboa kwanza kunapunguza sumu mkuu japo inaweza kubakia ila ni kidogo hivyo sembe inaweza kuwa salama kidogo
Nyie mumekaa dar kwenye viyoyozinajisemesha tuu hapa hamna hata robo heka ya mahindiMkuu achana na wivu wa kike wa wakenya, mahindi yetu ni mazuri mno,mahindi kama ya katavi,ruvuma,rukwa yana quality zuri kweli, hata hivyo nchi zinazotunguka karibia zote wanahitaji mahindi yetu, wakenya wana jambo lao
Andika kiswahili hapo jinsi ya kupunguza athari za sumu kuvuHii habari ni ya kweli , kutokana na namna tunavyohifadhi mahindi yetu bila kufuata kanuni nzuri , aflatoxin au kwa kiswahili Sumu kuvu ni Sumu ambayo kutokana na aina flani ya fungus (Aspergillus flavus and Aspergillus parasiticus) ambao hukua pole pole kwenye nafaka na nuts ambazo zimehifadhiwa zikiwa hazijakauka vizuri au zikiwa kwenye unyevu
How is dangerous
Aflatoxin B1, which is a genotoxic hepatocarcinogen, which presumptively causes cancer by inducing DNA adducts leading to genetic changes in target liver cells. AFB1 is metabolized by cytochrome-P450 enzymes to the reactive intermediate AFB1-8, 9 epoxide (AFBO) which binds to liver cell DNA, resulting in DNA adducts.
How to prevent aflatoxins
Sorting insect- damaged cobs and cobs having poor husk covering can reduce aflatoxin contamination. Apart from this, winnowing, washing before cooking, and dehulling of maize grains are effective in achieving significant aflatoxin and other mycotoxins removal
Ni vitani vichache Sana tena ambavyo vinanunuliwaga na NMC afu wanaya dry kwenye storage zao kwa hiyo wanauza yaliyokuwa Safi sio haya ya mitaaniMahindi ya Tanzania yanauzwa Zimbabwe na Afrika kusini!
Ujue sera ya JK na Pinda ya kilimo kwanza ilikuwa na lengo la kuhimiza kilimo cha kitaalamu na kilimo mseto Kati ya wawekezaji wakubwa na peasants lakini Magu kavuruga kila kitu,saizi kilimo ni bora liendeMwambie pia kuwa Zambia inakuja kuchukua soko kubwa la sukari na Mihogo.
Nimeshindwa kuelewa kipi kimeharibu soko la mpunga maana mahindi inajulikana Zambia ila mpunga Hadi sasa sijui kuna shida ganimkuu acha tu, humu nimegundua kuna watu wanachangia ila hawajui hata shamba kukoje....!
sisi tunaolima ndio tunajua upepo unavoenda, mfano saizi angalia mpunga umedoda huko kwenye maghala alafu anakuja mjinga na blah blah zake!
Githeri sio staple food, acha utopolo!Kwahiyo githeri hamtokula tena?
Achana na mataga ya malumumba hayo kazi yao kuropoka tuuKuna Ndama mmoja hapo juu kaandika ujinga mtupu anadai Zimbabwe na SA ndio watumiaji wakubwa wa mahindi yetu. Mimi nilishakaa Zimbabwe kabla ya yule kichaa Mugabe hajaharibu nchi. Jamaa wanalima aisee tena walikuwa na mbegu inaitwa SASAKAWA GLOBAL 2000 shina moja la muhindi linabeba watoto wanne. Jamaa wale wazungu walilima wakawa wanalisha Afrika. Sisi tunajidanganya na siasa zetu za mapambio. Akamuulize Summry mahindi yanavyomdodea. Kuna sehemu mchele ni shilingi 900 mpaka muda huu. China anataka sana muhogo tunachezacheza tu Zambia kachukua hiyo kazi.
Kilimo kwanza na feed the future plus saggot project zilikuwa zimeanza kurejesha kilimo cha kibiashara kwa kutumia wawekezaji na mseto wa peasants lakini vyote ni sifuriTungegawanya kikanda katika kilimo na kuacha CCM na ulafi wetu tungekuwa mbali sana tena hasa. Nyerere na maovu yake ila alijiyahidi. Hivi Big 5 bado ipo
I was recently in uganda and I heard farmers complaining. They do not have access to the Kenyan market and the ugandan market does not offer them the price they need to make a profit. A 90 kg bag of maize was being sold for as low as kes 900 and if you bargain the price would be even lower at kes 750. They complained about Kenya being the country that gives them their daily bread but now their products are banned. Milk too is currently banned. There and then I realised that the kenyan market is very important for alot of farmers in the eac.Tunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.
Thats good reasoning.Wewe uliacha akili kwa kibeti ama huna? The authority is speaking for Kenyans, not Tanzanians. Tanzanians are free to eat the maize if they wish to otherwise Kenyans won't or did you expect Kenyans to rely on Tanzanian authority?
Secondly, we don't rely on your grains, we buy your grains and we can choose to buy elsewhere if we wished. It is due to good neighborliness we buy from you. If we relied on you, you wouldn't be complaining this much. Your minister of Agriculture wouldn't rush to Namanga just by hearing on social media that Kenya is rejecting your maize. We are your bosses here, not the other way round.
Zilipunguzwa idadi na nafasi yao kuchukuliwa na Ethiopian airwaysHivi hizo ndege bado zipo kweli zinafanya kazi ????...kitambo sn toka zipigagwe ban sijawahi kuziona asilani
HAKUNA UMAANA WOWOTE WA SHIRIKISHO LA AFRIKA YA MASHARIKI IF POSIBLE JUMUIYA HII IVUNJWE TU BADO HATUJAKOMAA KUENDESHA JUMUIYA ZA NAMNA HII SEREKALI ZETU ZINAKOSA HELA NYINGI SANA ZA VISA
Mahindi wanaagiza from Mexico nasikia, tena at more cheaper price..Kenya watakula nini sasa maana bila Tz chakula hawapati
Kitu ambacho ningependa kufahamu ni kwamba hawa mycotoxins (aina ya fungus) wanaingia kwenye mahindi kipindi gani? Shambani au during storage?Nikweli, mahindi yetu tunahifadhi kwa sumu. Ni wakati sasa tubadilike, ni hatari kwa afya zetu.