Mkuu, unavyosema hivyo sijuwi unawawakilisha wakina nani! Sisi wakulima tunahitaji soko lisilo na vikwazo ili angalau bei ichangamke.Tunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.
Siyo kweli, Wakenya waliacha kitambo kutegemea mahindi ya Tz wakawa wanachukua Zambia, toka hapo bei yetu ikaporomoka kutoka 1000/kg mpaka 300[emoji22]Kenya watakula nini sasa maana bila Tz chakula hawapati
Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha sarataniMamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya...
Hivi unaambiwa mahindi yako yana sumu badala ya kushughulikia tatizo una kejeli, sisi pia ni watu sumu zinatudhuruTanzania huwa wanatoa mapigo matakatifu kwa hawa wala githeri...ngoja watu waende chimbo kisha waje na pigo, kenya mtakula nzige
Kwahiyo githeri hamtokula tena?Wapumbavu mbona imewachukua muda mrefu hivi kubaini hili, tunawalipa mishahahara ili mtulinde, mpaka Wakenya wafe ndio leo mnasema. Sitisheni kabisa uagizaji wa haya mahindi, majirani kwa uzembe wao hawawi makini, wanavuna na kuuza tu.
Hehehe, kwahiyo miaka yote hiyo mmekula sumu na mna mamlaka?Wapumbavu mbona imewachukua muda mrefu hivi kubaini hili, tunawalipa mishahahara ili mtulinde, mpaka Wakenya wafe ndio leo mnasema. Sitisheni kabisa uagizaji wa haya mahindi, majirani kwa uzembe wao hawawi makini, wanavuna na kuuza tu.
Una uhakika kwa hilo, sio kila unachoambiawa una kubali tu.Hivi unaambiwa mahindi yako yana sumu badala ya kushughulikia tatizo una kejeli, sisi pia ni watu sumu zinatudhuru
Kenya watakula nini sasa maana bila Tz chakula hawapati
Na mahindi, mtama na karanga za Kenya pia zina afla hatari...itabd muagize kila kitu from mexico..but ithink pia hili lilipaswa kuwa suala la kimkakati across EAC na si kisasa kana navyooona sasa...na maziwa yenu pia yana afla M1Tunapanda mahindi wenyewe na pakiwa na upungufu tunaweza kuagiza kutoka Mexico. Nyinyi hatuwahitaji sana.
Hehehe, kwaiyo miaka yote hiyo mmekula sumu na mna mamlaka?
To hell na vita vya uchumi kama hii habari ni ya ukweli Watanzania na Waganda itabidi tuwe makini na mahindi tunayokula.Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya...
Silinilisikia juzi Kenyatta kaongea na Biden? labda ndo mwendelezo wa vikwazo ili amfurahishe beberu mwandamizi, lakini nadhani bado ni malipizo ya kulikosa bomba la Ohima maake alimshawishi sana M7 na mzee akamkataa kidesign, btw Congo na Zambia kuna soko la kufa mtu, nafikir na S.Sudan na Somalia kikubwa waache magari yetu yapite.
We faller huna lolote na very soon mtabadili mtazamo su mfe njaaInauma, maana watu wetu wanakufa kwa saratani halafu mijinga inapokea hela ili ihakikishe ubora wa kile tunanunua kutokea kwenu huko, na kwa mlivyo wazembe mnasindika magunia tu, wala hamkai mfikirie au kutumia ubongo.
Zipo teleHivi hizo ndege bado zipo kweli zinafanya kazi ????...kitambo sn toka zipigagwe ban sijawahi kuziona asilani
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app