Sasa wewe kama unayajuwa hayo unangoja nini usisafirishe mazao Ulaya?Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?
Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?
Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
Sidhani. Kilimo chenu cha matunda hayawatoshi hata nyinyi wenyewe. Hata mahindi ya chakula hayawatoshi mnanunuwa Tanzania
Tunauza madiniHivi Tanzania tuna biashara yoyote tunayo ifanya nje ya nchi?
Yakitoka Tanzania yakifika Kenya yanakuwa lebeled Product of Kenya.Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?
Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?
Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
Kama mbafanya hayatoshi. Sasa hivi parachichi zote mnazopeleka nje zinatoka Tanzania
Nadhani umelala njaa weweMh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.
Hivi unahisi 40tonnes ya matunda ni kitu kwa nchi kama Kenya? Wana production kubwa mno hiyo ni nothing, hiyo ni sawa na idadi ya yanayooza tu wanatupaMh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.
Wewe mtanzania mwente elimu elimisha weanzako...au wewe pia ni "mpumbafu"!?Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?
Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?
Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
ha ha ha ...Tanzanians and your exaggerated sense of self importance...Sidhani. Kilimo chenu cha matunda hayawatoshi hata nyinyi wenyewe. Hata mahindi ya chakula hayawatoshi mnanunuwa Tanzania
Unaongea na mtu anaeijuwa Kenya kuliko wewe. Nimeiona Kenya wewe hujazaliwa bado.ha ha ha ...Tanzanians and your exaggerated sense of self importance...
Matunda ni mengi Kenya , sijawahi kwenda sokoni nikakosa matunda kwa bei ndogo...na yamelimwa hapa kenya..
Tembea Kenya kaka.. ama uambie Magufuli afunge mpaka.... Matunda yanatoka Tanzania wakati season ya matunda hayo bado Kenya.. kwa mfano machungwa ... Machungwa yakiisha Ukambani wanabiashara wanaenda kutafuta machungwa yaliyobaki Tanzania..
Kwanza huko kijijini kwetu wakati wa msimu wa maembe, trucks kutoka Tanzania huja kununua Maembe kupeleka Dar..
Lakini kwa sababu Soko la Kenya ni kubwa ni vigumu kupata Matunda yakitolewa Kenya kwenda Tanzania...Si eti mnalima kwa kiwango kikubwa vile...
Hawa wana matunda wapi, hata kununua nanasi zima hawawezi kwasababu ya bei kubwa. Huwa wanauziwa vipande vipande. Matunda wanategemea kutoka Tanzania.Unaongea na mtu anaeijuwa Kenya kuliko wewe. Nimeiona Kenya wewe hujazaliwa bado.
Matunda yenyewe plantation zote ni za wageni. Wakiamua hawakuuzi na upo kwenu. Labda useme miraa ndiyo ipo mingi Kenya, tena ni kuleMeru ambapo Wameru wenyewe wanasema wao ni Watanzaia zaidi kuliko Wakenya jinsi Wakikuyu mnavyowabagua.
Hata wakulima wadogo wadogo wanalima Matunda Kenya... kaka , mimi pia ni mkulima eneo la Mt Kenya..Unaongea na mtu anaeijuwa Kenya kuliko wewe. Nimeiona Kenya wewe hujazaliwa bado.
Matunda yenyewe plantation zote ni za wageni. Wakiamua hawakuuzi na upo kwenu. Labda useme miraa ndiyo ipo mingi Kenya, tena ni kuleMeru ambapo Wameru wenyewe wanasema wao ni Watanzaia zaidi kuliko Wakenya jinsi Wakikuyu mnavyowabagua.
π π π ha ha ...kaka wacha kujiaibisha...Hawa wana matunda wapi, hata kununua nanasi zima hawawezi kwasababu ya bei kubwa. Huwa wanauziwa vipande vipande. Matunda wanategemea kutoka Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππKenya creative sana, Uhuru anajali watu wake japo ni mpiga hela pembeni pia. Kama ni jiwe utasikia mfeni hukohuko, uhuru anajua wakenya waliopo nje japo wapo kwenye wakati mgumu mambo yakiwa shwari hua wanatuma hela nyingi sana nyumbani so analinda investment.
Aisee.!!Tunauza madini
Labla ningekuwa Mkenya ukianza kufuatilia process za kupata vibali vya serikali tayari umesha pata wazo lingine la biashara na mazao yako yamesha haribikia shambani,...Sasa wewe kama unayajuwa hayo unangoja nini usisafirishe mazao Ulaya?
Achana na maneno nyie zodoeni wenzenu wanapiga mzingowacha ufala
Nimesema huko juu sisi waafrica tumezaliwa na upumbafu, korosho ambazo serikali imemdhulumu mkulima na kwenda kuzifungia kwenye maghala?Koroshow
Hebu tupe evidenceSidhani. Kilimo chenu cha matunda hayawatoshi hata nyinyi wenyewe. Hata mahindi ya chakula hayawatoshi mnanunuwa Tanzania
It is part of their disposition. Facts show otherwiseha ha ha ...Tanzanians and your exaggerated sense of self importance...
Matunda ni mengi Kenya , sijawahi kwenda sokoni nikakosa matunda kwa bei ndogo...na yamelimwa hapa kenya..
Tembea Kenya kaka.. ama uambie Magufuli afunge mpaka.... Matunda yanatoka Tanzania wakati season ya matunda hayo bado Kenya.. kwa mfano machungwa ... Machungwa yakiisha Ukambani wanabiashara wanaenda kutafuta machungwa yaliyobaki Tanzania..
Kwanza huko kijijini kwetu wakati wa msimu wa maembe, trucks kutoka Tanzania huja kununua Maembe kupeleka Dar..
Sababu za nyie kufikiri kuwa mnalima sana kutushinda ni kwa sababu kadha
1. Soko la Kenya ni kubwa kwa hivo ni vigumu kupata Matunda yakitolewa Kenya kwenda Tanzania...Si eti mnalima kwa kiwango kikubwa vile...
2. Mapato mengi ya ukulima Kenya ni ya local consumption ama export nje ya Africa...
sasa tutaleta Parachichi, Macadamia , Majani chai , Kahawa , Maua nani atazinunua Tanzania ??