Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?

Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?

Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
Sasa wewe kama unayajuwa hayo unangoja nini usisafirishe mazao Ulaya?
 
Yakitoka Tanzania yakifika Kenya yanakuwa lebeled Product of Kenya.

Kitu cha pili watanzania tuna ubinafsi mkubwa sana; nitakupa mfano halisi hapa.

Kuna group moja la wakukima WhatsApp ambalo wanalima zao X, sasa ilitokea wakapata soko UK dada moja nawebzake kila walipokuwa wanapeleka bidhaa zinaishia kutupwa kwani hazikidhi vigezo. Kwa msaada wa serikali walifanikiwa mwisho wa siku.

Baada ya kufanikiwa wakaanza kuwafanya wenzao fursa ili wapate fidia hasara wakioipata wakati wa naanza kusaka soko. Mwisho wa siku wenye akili wakajitoa

God save us
 
Mh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.
Nadhani umelala njaa wewe

God save us
 
Mh! Badala ya kutunza akiba kwa ajili ya WaKenya kabla, wakati na baada ya COVID-19, Serikali inaruhusu kitu hicho. Kweli akili ni mali, kila mtu anao zake.
Hivi unahisi 40tonnes ya matunda ni kitu kwa nchi kama Kenya? Wana production kubwa mno hiyo ni nothing, hiyo ni sawa na idadi ya yanayooza tu wanatupa
 
Dah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?

Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?

Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
Wewe mtanzania mwente elimu elimisha weanzako...au wewe pia ni "mpumbafu"!?
 
Sidhani. Kilimo chenu cha matunda hayawatoshi hata nyinyi wenyewe. Hata mahindi ya chakula hayawatoshi mnanunuwa Tanzania
ha ha ha ...Tanzanians and your exaggerated sense of self importance...
Matunda ni mengi Kenya , sijawahi kwenda sokoni nikakosa matunda kwa bei ndogo...na yamelimwa hapa kenya..

Tembea Kenya kaka.. ama uambie Magufuli afunge mpaka.... Matunda yanatoka Tanzania wakati season ya matunda hayo bado Kenya.. kwa mfano machungwa ... Machungwa yakiisha Ukambani wanabiashara wanaenda kutafuta machungwa yaliyobaki Tanzania..

Kwanza huko kijijini kwetu wakati wa msimu wa maembe, trucks kutoka Tanzania huja kununua Maembe kupeleka Dar..

Sababu za nyie kufikiri kuwa mnalima sana kutushinda ni kwa sababu kadha

1. Soko la Kenya ni kubwa kwa hivo ni vigumu kupata Matunda yakitolewa Kenya kwenda Tanzania...Si eti mnalima kwa kiwango kikubwa vile...

2. Mapato mengi ya ukulima Kenya ni ya local consumption ama export nje ya Africa...
sasa tutaleta Parachichi, Macadamia , Majani chai , Kahawa , Maua nani atazinunua Tanzania ??
 
Lakini kwa sababu Soko la Kenya ni kubwa ni vigumu kupata Matunda yakitolewa Kenya kwenda Tanzania...Si eti mnalima kwa kiwango kikubwa vile...
Unaongea na mtu anaeijuwa Kenya kuliko wewe. Nimeiona Kenya wewe hujazaliwa bado.

Matunda yenyewe plantation zote ni za wageni. Wakiamua hawakuuzi na upo kwenu. Labda useme miraa ndiyo ipo mingi Kenya, tena ni kuleMeru ambapo Wameru wenyewe wanasema wao ni Watanzaia zaidi kuliko Wakenya jinsi Wakikuyu mnavyowabagua.
 
Hawa wana matunda wapi, hata kununua nanasi zima hawawezi kwasababu ya bei kubwa. Huwa wanauziwa vipande vipande. Matunda wanategemea kutoka Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea na mtu anaeijuwa Kenya kuliko wewe. Nimeiona Kenya wewe hujazaliwa bado.

Matunda yenyewe plantation zote ni za wageni. Wakiamua hawakuuzi na upo kwenu. Labda useme miraa ndiyo ipo mingi Kenya, tena ni kuleMeru ambapo Wameru wenyewe wanasema wao ni Watanzaia zaidi kuliko Wakenya jinsi Wakikuyu mnavyowabagua.
Hata wakulima wadogo wadogo wanalima Matunda Kenya... kaka , mimi pia ni mkulima eneo la Mt Kenya..
huko tunalima passion fruits, Parachichi , paipai , Maembe , watermelon, pineapples etc

Hebu ingia kwenye gari Kutoka Nairobi hadi Meru uone soko za matunda kutoka Murang'a, Mwea , Embu , Chuka , Meru na masoko madogo madogo..uniambie au hutaona wakulima wakileta bidhaa kutumia trucks na magari madogo madogo.

Kuna makampuni kama kakuzi , del-monte wanaolima bidhaa za export... pia kuna wakulima wa kiwango cha wastani wanaozalisha tu za export... kitambo makampuni haya hayakuwa yanauza bidhaa Kenya kwa sababu soko lilikuwa ndogo..

Lakini siku hizi wameanza kuuza na wanashindana na wakulima wanaozalisha bidhaa za soko la hapa

Enda kwenye duka la del - monte huko Thika utanunua bidhaa zao...

Ama uende Kakuzi, wanauza miti, seedlings za matunda , na hata matunda kwenye duka lao..

Wewe hujatembea Kenya.. ama ulikuwa Kenya 1980s
 
Kenya creative sana, Uhuru anajali watu wake japo ni mpiga hela pembeni pia. Kama ni jiwe utasikia mfeni hukohuko, uhuru anajua wakenya waliopo nje japo wapo kwenye wakati mgumu mambo yakiwa shwari hua wanatuma hela nyingi sana nyumbani so analinda investment.
😂😂
Mfeni hukohuko!!!
 
Sasa wewe kama unayajuwa hayo unangoja nini usisafirishe mazao Ulaya?
Labla ningekuwa Mkenya ukianza kufuatilia process za kupata vibali vya serikali tayari umesha pata wazo lingine la biashara na mazao yako yamesha haribikia shambani,...
 
ha ha ha ...Tanzanians and your exaggerated sense of self importance...
Matunda ni mengi Kenya , sijawahi kwenda sokoni nikakosa matunda kwa bei ndogo...na yamelimwa hapa kenya..

Tembea Kenya kaka.. ama uambie Magufuli afunge mpaka.... Matunda yanatoka Tanzania wakati season ya matunda hayo bado Kenya.. kwa mfano machungwa ... Machungwa yakiisha Ukambani wanabiashara wanaenda kutafuta machungwa yaliyobaki Tanzania..

Kwanza huko kijijini kwetu wakati wa msimu wa maembe, trucks kutoka Tanzania huja kununua Maembe kupeleka Dar..

Sababu za nyie kufikiri kuwa mnalima sana kutushinda ni kwa sababu kadha

1. Soko la Kenya ni kubwa kwa hivo ni vigumu kupata Matunda yakitolewa Kenya kwenda Tanzania...Si eti mnalima kwa kiwango kikubwa vile...

2. Mapato mengi ya ukulima Kenya ni ya local consumption ama export nje ya Africa...
sasa tutaleta Parachichi, Macadamia , Majani chai , Kahawa , Maua nani atazinunua Tanzania ??
It is part of their disposition. Facts show otherwise

a) Kenya is the sixth largest producer and exporter of avocados in the world majorly to europe because America import more from Mexico.

b) Kenya is the second largest producer and exporter of dairy products in sub saharan africa after south africa, producing about 5 billion litres of milk and our factories having about 6 billion litres processing capacity.

c) Kenya is the largest producer and exporter of cut flowers in africa, commanding about 38% of the european market and now Kenyan growers are looking to america for more growth.

d) Kenya is the 4th largest producer of bananas in Africa after Tanzania, Angola, Burundi, difference is Kenya is better at exporting and marketing her bananas where it commands a 15% market share in europe while the philippines and china command the rest.

e) Kenya is the largest producer and exporter of black and speciality tea in Africa and fourth largest in the world, commanding about 70% of the market in the UK and commanding about 50% of european blended tea market.

f) Kenya is the 2nd largest producer of mangoes in Africa after Nigeria, about 40% of which is exported as whole fruit or mango pulp.

g) Kenya is the 6th largest producer of pine apples after Nigeria, Ghana, Angola, Malawi,Tanzania but it is the 3rd largest exporter due to it's cultivar which is exported as canned pineapples majorly to the UK.
 
Back
Top Bottom