Hivi umeshawahi kumjibu mtu swali, hii ni post zaidi ya kumi unaiweka hapa bila kujibu swali hata hoja moja. Umepewa nafasi ulezea hoja yako ni nini lakini unapitia hapa na kutokea kule. Sasa hapa hapa umejifunga mwenyewe. Umetaka nikuulize badala ya kujaza maneno yanhu. Mimi naomba darasa maana halisi ya IMPACT NDOGO kwenye upanuzi wa bandari ya Tanga ni nini?? this is straight forward question.
Unajibu vipi swali ambalo sio sehemu ya ulichoongea? Mtu anakuambia 1+1=2 halafu unakuja kumwambia kwanini umesema 1+1 = 11
Ulitakiwa kuuliza swali kutokana na nilichoandika lakini sio kuuliza swali linalotokana na maneno uliyochomeka wewe na kutengeneza assumptions zako!!!
Halafu usipende kupindisha pindisha maneno!! Hapo juu sio kwamba ni straightforward question bali hicho ndicho niliandika/nilisema na tangia mwanzoni ulitakiwa kuuliza hivyo!!!
Kukujibu swali lako, kwavile mradi wa Uganda-Tanga ni bomba la mafuta kwa ajili ya kusafirisha mafuta basi hata upanuzi wake utazingatia ku-cater hiyo kazi... ili kuwa oil terminal!
Oil terminal facilities has no use to ordinary cargo ships zinazobeba shehena za kawaida!!
Hizi non-oil shippers wanachohitaji ni harbors zenye kina cha kutosha na one of the determinant ni uwezo wa bandari ku-handle cargo including container terminal.
Hayo yote kwenye mradi wa bomba la mafuta hayana ulazima kwa sababu hawahitaji container terminals.
The only big construction kwenye oil terminal ni
oil tanks. Na kwavile Bandari ya Tanga ina kina kifupi, labda kingine kinachoweza kufanyika ni extension of jet or pipeline to deep water kama wanatarajia kutumia meli kubwa.
Jets ni muhimu kwa meli za aina yote including ordinary cargo ships!!!
Hata hivyo si rahisi same jet kutumika na oil shippers na meli za kawaida za mizigo na moja ya sababu ni usalama!!
Hii maana yake ni kwamba, hata kama mradi utaamua ku-extend jet basi kuna uwezekano ikawa exclusively for oil shippers unless wasiwe na mzigo wa kutosha wa kuifanya bandari kuwa busy na hivyo muda mwingi kuwa idle na kutoa fursa kwa meli za kawaida!!!
But, to prove me wrong, taja aina ya upanuzi unaondelea hivi sasa pale bandari ya Tanga in relation to Uganda-Tanga Oil Project!!!