Tukiondowa udaku na utoto, still unashindwa kutoa majibu ya kuridhisha. Nimekuuliza mkataba si ndio umewekwa saini juzi ?? Ulitegemea kuona impact siku ya pili?? Nimekuuliza kwako wewe impact ni kuona more container terminal au?? Have you heard offshore terminal??. Hapa umeacha yote na kukimbilia data ndio uvune from me. I ain't that stupid. Wewe hujibu swali hata moja una recycle nilicho sema na kukiweka hapa. Hesabu mwenyewe how many times nimekuuliza hoja yako ya msingi ni ipi, na wewe imechuluwa post ngapi mpaka kujieleza vitu ambavyo to be honest they don't make sense for 2017. Labda nikuchomeke swali na najuwa sitapata jibu. Bandari ya Tanga inafanya kazi hivi sasa au haifanyi.