Kujadiliana gani unakozungumzia wewe?! Mtu anakuambia Mji Mkuu wa Tanzania ni Dodoma, from nowhere unapindua unadai amesema mji mkuu wa Tanzania ni Dar es salaam! Unaelewesha lakini unarudia kile kile tena na tena!!! Ndo kujadiliana huko?!Inaoneka JF umekuja kutafuta ugonvi badala ya kujadiliana na wanachama wezako. Sio kula siku upata inachokitaka.
Maana sasa hakuna chochote cha badari au wachina unaongea vimebaki vijembe
Nakubaliana na pongezi kwa Kenya.
Ila kwamba ngosha atatufikisha sina hakika, nahisi tutarudi hatua nyingi tu nyuma chini ya uangalizi wa huyu ndugu yako
Inaoneka mimi kuchamgia post yako imekuuma sana, but they in the wrong place. Umiweka kitu ubaoni tegemea majibu kutokana kila kona.Kujadiliana gani unakozungumzia wewe?! Mtu anakuambia Mji Mkuu wa Tanzania ni Dodoma, from nowhere unapindua unadai amesema mji mkuu wa Tanzania ni Dar es salaam! Unaelewesha lakini unarudia kile kile tena na tena!!! Ndo kujadiliana huko?!
Kwanza tuache hiyo hoja ya kijinga kwamba imeniuma wewe kuchangia hoja yangu! Kwa hoja ipi?Inaoneka mimi kuchamgia post yako imekuuma sana, but they in the wrong place. Umiweka kitu ubaoni tegemea majibu kutokana kila kona.
Kwa kauli yako wewe mwenyewe umegusia Tanga port haina uwezo wa kusisimua uchumi, lakini mradi $4 billion vs mradi wa treni ya Kenya $3.8 halafu inasema economical impact ndogo.
Nimeamua niende taratibu na wewe manake hamna jambo baya kama kudhani X & Y is one and the same!! Or probably nakulisha mambo mengi kwa wakati mmoja na hivyo unashindwa kunifuata!
Sasa twende taratibu!! Naomba u-quote post yangu niliyosema kwamba Bandari ya Tanga haina uwezo wa kusisimua uchumi.
Tuanzie hapo kwanza!!
NImekuambia quote post niliyosema Bandari ya Tanga haina uwezo wa kusisimua uchumi... maneno mengi ya nini?!Last time kwenye post ya mwisho nimekuuliza usema bayama hapa kwa maneno yako mwenye wala sio ya kusingiziwa, hoja yako ni nini?? Ni Tanga, ni Bagamoyo, ni pipe line, ni Tanzania inaleta siasa kwenye uwekezaji au ni wachina wanampango mrefu kwenye ukanada huu wa EA. Hayo mswali umeyaruka unataka na sisi to copy na ku paste.
Post ni yako mwenye, unataka kunipa kazi ya kupenkenyuwa ulivyo viandika vyoote nije navyo hapa. Hata mahakamani huoni aliye shitakiwa ana pekenyua makaratasi ya aliye mshitaki. Nimekuuliza swali dogo sana tena sana, hoja yako ni ipi ambayo unasema nimekujibu isivyo hitajika??? Nisicho kitaka mimi ni Kupaka matope jina la Tanzania bila ushahidi. Ni economical impact ya bomba la mafuta Tanga, ni badari ya Bagamoyo, ni economical activity za wachina au ni siasa tunazo zileta kwenye uwekezaji.NImekuambia quote post niliyosema Bandari ya Tanga haina uwezo wa kusisimua uchumi... maneno mengi ya nini?!
Narudia weka hapa hiyo post na acha maneno mengi!! Nakusisitizia hilo jambo kwa sababu mara zote nimekuwa nakuambia unaongea mambo ambayo sijayasema. Kuni-prove wrong, weka hiyo post hapa niliyosema bandari ya Tanga haina impact ya kiuchumi badala ya kuleta porojo!! NARUDIA, WEKA HAPA POST NILIYOSEMA BANDARI YA TANGA HAINA IMPACT KIUCHUMI!!!Post ni yako mwenye, unataka kunipa kazi ya kupenkenyuwa ulivyo viandika vyoote nije navyo hapa. Hata mahakamani huoni aliye shitakiwa ana pekenyua makaratasi ya aliye mshitaki. Nimekuuliza swali dogo sana tena sana, hoja yako ni ipi ambayo unasema nimekujibu isivyo hitajika??? Nisicho kitaka mimi ni Kupaka matope jina la Tanzania bila ushahidi. Ni economical impact ya bomba la mafuta Tanga, ni badari ya Bagamoyo, ni economical activity za wachina au ni siasa tunazo zileta kwenye uwekezaji.
Unajua wewe ni mtu wa ajabu kama sio mtu wa hovyo hovyo?!
Huo mradi wa bomba la mafuta utakuwa na impact ndogo sana katika ujenzi wa bandari... zaidi tu ya kupanua miundombinu ya hapa na pale.
Hapa umeambiwa miradi ya China barani Afrika! Kwa wanaofuatilia masuala ya marine transportation wanafahamu what's going on.
China ni kama wameigawa Afrika into blocks ili kurahisisha biashara zao... hakuna aliyetaja habari ya shaba ya Zambia hapa wala magogo ya DRC!!!
Horn of Africa, wanapanua bandari ya Djibouti kisha wakajenga reli kutoka Ethiopia inayolenga kuunganisha na bandari ya Djibouti.
East Africa, Kenya walikuwa wanapigia upatu Wachina wajenge bandari mpya ya Lamu lakini wakachomoa na kuchagua Bagamoyo. Hii ingekuwa au itakuwa ndo largest port in Africa on completion.
Ili kuiunganisha na landlocked countries walikusudia kujenga reli itakayounganisha Bagamoyo na Reli ya Kati. Na kwavile lengo lao ni ku-facilitate biashara zao, walikusudia kujenga industrial zone mradi ambao ungefanywa na Oman.
Sasa hiyo ndiyo post yenyewe; sijaona keyword yoyote ya uchumi, economy, economics economic! Hata hivyo kuna keyword ya IMPACT na sentensi husika inasema hivi:Ulicho kitaka hicho hapo juu, tufafanulie economical impact dogo kwa upanuzi wa badari ya Tanga what do you mean. Na utaona ni hoja hizo hizo unazo ziruka. Bagamoyo port, biashara ya wachina ukanda wa EA, wachina kukimbilia Kenya . Sijuwi kwani unashindwa kuzi list hoja zako mwenyewe.
Niambie sasa... yaani kwa uelewa wako hiyo sentensi inazungumzia economic impact kama ambavyo umekuwa uking'ang'ania tangia jana hadi hivi sasa?!Huo mradi wa bomba la mafuta utakuwa na impact ndogo sana katika ujenzi wa bandari... zaidi tu ya kupanua miundombinu ya hapa na pale.
Haha, unanichekesha, the words ziko hapo black and white na umeyasema mwenye. Bandari ni nini kwa nchi kama sio kitega uchumi? Unapo panuwa bandari au kuongeza shughuli za bandari haisaidii kuongeza kipato cha kiuchumi?? Sasa wewe ukisema impact ama msisimko na Mimi nikisema economical impact au msisimko wa kiuchumi tuna tofautiana nini?Sasa hiyo ndiyo post yenyewe; sijaona keyword yoyote ya uchumi, economy, economics economic! Hata hivyo kuna keyword ya IMPACT na sentensi husika inasema hivi:Niambie sasa... yaani kwa uelewa wako hiyo sentensi inazungumzia economic impact kama ambavyo umekuwa uking'ang'ania tangia jana hadi hivi sasa?!
Mbona unapenda kutumia neno "economical" pasipohusika?! Kwa mfano hivi sasa umeandika "...tufafanulie economical impact dogo kwa upanuzi wa badari ya Tanga....!" Hivi phrases "...impact ndogo sana katika ujenzi" kwa upande mmoja na "....economical impact dogo kwa upanuzi (au hata ujenzi)" kwa upande mwingine yote ni sawa?!
Hongera sana jirani, nasi soon ngosha atatufikisha huko.....just a matter of time!
pamoja na mapungufu yake lakini still he's far far better kuliko hawa matapeli wanaojiita wapinzani!!
Maelezo marefu ya nini wakati swali langu lipo straight forward? Narudia; sentensi yangu husika inasema hivi:Haha, unanichekesha, the words ziko hapo black and white na umeyasema mwenye. Bandari ni nini kwa nchi kama sio kitega uchumi? Unapo panuwa bandari au kuongeza shughuli za bandari haisaidii kuongeza kipato cha kiuchumi?? Sasa wewe ukisema impact ama msisimko na Mimi nikisema economical impact au msisimko wa kiuchumi tuna tofautiana nini?
Umesema tuanzie hapo kwenye impact ya Tanga maana ndio hapo ulipotaka kuanzia. Kwa mtazamo wako wewe (na nazungumzia ulicho kiandika kama bomba ka mafuta litakuwa na impact dogo kwenye upanuzi wa badari, je unajuwa ni nini kitakacho fanyika hapo Tanga mpaka kuwezisha hiyo bandari kuhothi meli kubwa za mafuta?? Hivi umefikiria ajira zitakazo toka kutokana na mradi huu (hesabu ya haraka haraka ni ajira 6,000-10,000 japo zita samba kila mahali lakini that's the number) je unaijuwa hata chuma chetu kitapata soko kwenye mradi huu? What about all the supporting companies watako fumguwa maofisi hapo Tanga.
Acha kuchomeka maneno yako wewe ambayo wala hujui matumizi yake!!! Hiyo sentensi inasema Bandari ya Tanga haina impact ya kiuchumi?!Huo mradi wa bomba la mafuta utakuwa na impact ndogo sana katika ujenzi wa bandari... zaidi tu ya kupanua miundombinu ya hapa na pale.
Maelezo marefu ya nini wakati swali langu lipo straight forward? Narudia; sentensi yangu husika inasema hivi:Acha kuchomeka maneno yako wewe ambayo wala hujui matumizi yake!!! Hiyo sentensi inasema Bandari ya Tanga haina impact ya kiuchumi?!
Narudia, acha tabia ya kuchomeka maneno yako ambayo completely yanakuwa irrelevant na hoja husika. Kwenye mjadala kama kuna kitu hujaelewa unatakiwa kuuliza na sio kuelewa unavyotaka wewe na kuuliza kutokana na ulivyoelewa wewe!!!
Unajibu vipi swali ambalo sio sehemu ya ulichoongea? Mtu anakuambia 1+1=2 halafu unakuja kumwambia kwanini umesema 1+1 = 11Hivi umeshawahi kumjibu mtu swali, hii ni post zaidi ya kumi unaiweka hapa bila kujibu swali hata hoja moja. Umepewa nafasi ulezea hoja yako ni nini lakini unapitia hapa na kutokea kule. Sasa hapa hapa umejifunga mwenyewe. Umetaka nikuulize badala ya kujaza maneno yanhu. Mimi naomba darasa maana halisi ya IMPACT NDOGO kwenye upanuzi wa bandari ya Tanga ni nini?? this is straight forward question.
So its official umeshindwa kutujibu tulicho kuuliza.Uliza swali kutokana na nilichoandika lakini sio kuuliza swali linalotokana na maneno uliyochomeka wewe na kufanya assumptions!!!
Ona ulivyo na kiherehere! Wewe huna cha maana unachoweza kuuliza cha mtu kushindwa kujibu!!! We unauliza swali halafu una-demand niwe nimekujibu within 15 minutes? We unadhani sina kazi nyingine zaidi ya kusumbuana na mtu asiyeelewa?So its official umeshindwa kutujibu tulicho kuuliza.
Your exceptional, na napata picha naongoa na mtu wa aina gani na ana umri gani. Inaoneka hujajuwa jinsi ya kutumia forum maana conversation yako siyo continuous ila unaenda na kuedit ulicho post nyuma ukifikiri mtu atajuwa umepost au umemjibu. Mimi sio mwalimu lakini hili ni somo dogo tu kwako, you post Forward not Backward. Halafu unachekesha pale unapotoa amri, jibu hivi, weka post yangu hapa, usiniulize hichi .......man, unongea na mwanao, au na mtu usiye mjuwa.Ona ulivyo na kiherehere! Wewe huna cha maana unachoweza kuuliza cha mtu kushindwa kujibu!!! We unauliza swali halafu una-demand niwe nimekujibu within 15 minutes? We unadhani sina kazi nyingine zaidi ya kusumbuana na mtu asiyeelewa?
Narudia, ukitaka kujibiwa uwe unauliza nilichondika na sio kutengeneza maneno yako mwenyewe halafu unaniambia nijibu!!!
Na ushauri wangu wa mwanzo narudia tena: jifunze jinsi ya ku-manage mijadala na kwenda hoja kwa hoja!!!
Cra'p!! Hii ni dalili ya kuishiwa hoja ingawaje tangia hapo hujawahi kutoa hoja ya maana!!!Your exceptional, na napata picha naongoa na mtu wa aina gani na ana umri gani. Inaoneka hujajuwa jinsi ya kutumia forum maana conversation yako siyo continuous ila unaenda na kuedit ulicho post nyuma ukifikiri mtu atajuwa umepost au umemjibu. Mimi sio mwalimu lakini hili ni somo dogo tu kwako, you post Forward not Backward. Halafu unachekesha pale unapotoa amri, jibu hivi, weka post yangu hapa, usiniulize hichi .......man, unongea na mwanao, au na mtu usiye mjuwa.
Kama hayo uliyafajamu kwanini kila wakati ulikuwa unauliza suala la economic impact? In short huna hoja and to be honest, ni mweupe kweli kweli kwenye haya mambo!!Mtu aliyejigamba una data halafu unaanza kulia lia kwamba mkataba umewekwa saini juzi?! Si una data wewe? Au umesahau ulichojigamba hapo kabla? Hiki hapa:Sasa ukiuliza "nitajie kinachoemdelea pale Tanga hivi sasa in relation ya upanuzi wa bandari" oh hellooo, mkataba si ndio umewekwa saini juzi tu?? Mchakato wa kupitia michoro yote si ndio umeanza?? Zabuni si ndio zinapotiwa?? Na hili hujuwi.
Toa basi hizo data na vielelezo vinavyozungumzia future plan za ujenzi wa hiyo bandari badala ya kujificha kwenye hoja nyepsi kwamba eti mkataba umewekwa juzi!!Ya badari yamekushinda unaaza mapya. Mimi Niko tarari na tushindane kwa data. Kusema mambo bila vielelezo unatudangaya tuu hapa.
Kwanza pitia ambacho uliandika mwenyewe:Kwahiyo impact kwako ni kuona Tanga kuna largest container terminal, muda wote nimekuuliza repeatedly what do you mean impact or I call it economical impact unakuja kusema oil tanker hazima haja ya deep berth ila cargo ships zinahitaji. Hivi umewai kuona offshore terminals?? Angalia hata bandari ya Djibouti inavyo fanya kazi. Bado hujatoa jibu linalo ridhisha kuhusu neno IMPACT kwasababu una pitisha hukumu kwa kitu ambacho hakijaanza hata kufanyiwa kazi.
Hivi kwa akili yako hizo bidhaa huwa zinatumia oil terminals?!Nashangaa unasema eti bandari ya Tanga haitaingiza kipato kikubwa kutokokana na mafuta ya Uganda. If that's the case kwanini wakenya wameumia sana kuukosa mradi huo? Mafuta, sisal, perishable goods, industrial goods yote hiyo unaona hakuna kipato.
Tukiondowa udaku na utoto, still unashindwa kutoa majibu ya kuridhisha. Nimekuuliza mkataba si ndio umewekwa saini juzi ?? Ulitegemea kuona impact siku ya pili?? Nimekuuliza kwako wewe impact ni kuona more container terminal au?? Have you heard offshore terminal??. Hapa umeacha yote na kukimbilia data ndio uvune from me. I ain't that stupid. Wewe hujibu swali hata moja una recycle nilicho sema na kukiweka hapa. Hesabu mwenyewe how many times nimekuuliza hoja yako ya msingi ni ipi, na wewe imechuluwa post ngapi mpaka kujieleza vitu ambavyo to be honest they don't make sense for 2017. Labda nikuchomeke swali na najuwa sitapata jibu. Bandari ya Tanga inafanya kazi hivi sasa au haifanyi.Cra'p!! Hii ni dalili ya kuishiwa hoja ingawaje tangia hapo hujawahi kutoa hoja ya maana!!!
Btw, unaweza kutaja post yoyote niliyo-edit?!
Post zote nilizoandika wewe umezi-quote!!! Unaweza ku-edit hadi ikawa reflected kwako ambako ume-quote? Acha viroja wewe!!
And FYI, moja ya vipawa nilivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu ni kuandika!! Ninapoanza kuandika vitu huwa vina-flow vyenyewe tu! Na ni very rare... I repeat, VERY RARE kukuta nime-edit post!!! Na huwa si-post kabla ya kufanya review tofauti na wewe na ndio maana kila wakati lazima uchanganye madesa!!
Kama hayo uliyafajamu kwanini kila wakati ulikuwa unauliza suala la economic impact? In short huna hoja and to be honest, ni mweupe kweli kweli kwenye haya mambo!!Mtu aliyejigamba una data halafu unaanza kulia lia kwamba mkataba umewekwa saini juzi?! Si una data wewe? Au umesahau ulichojigamba hapo kabla? Hiki hapa:Toa basi hizo data na vielelezo vinavyozungumzia future plan za ujenzi wa hiyo bandari badala ya kujificha kwenye hoja nyepsi kwamba eti mkataba umewekwa juzi!!
Kwanza pitia ambacho uliandika mwenyewe:Hivi kwa akili yako hizo bidhaa huwa zinatumia oil terminals?!
Btw, umesoma shule ipi ulikofundishwa IMPACT & ECONOMIC IMPACT ni kitu kile kile?! Kwanini Impact uite economical impact wakati ni vitu viwili tofauti?! Au hilo neno economic ndo umelijua karibuni hadi kila wakati uwe unalitumia hata pasipohusika?!