Kenya Yazindua Reli yake iliyojengwa na China

You're wasting my time
 
Kwa vituo vya abiria walivyojenga nadhani watakuwa wana-target both mizigo na abiria.
 
Kwa vituo vya abiria walivyojenga nadhani watakuwa wana-target both mizigo na abiria.
Vituo vya abiria lazima waweke na lazima wabebe lakini kimsingi kama alivyosema Mzee_Wa_Conspiracy, hiyo inakuwa sio target... ni kama kutoa socio-economic service!!!

Kama wangekuwa wana uwezo wasibebe kabisa abiria basi wangeshukuru, lakini ni nani atakayeelewa?! Just imagine behewa moja la abiria linatoa mapato kiasi gani na kama ingekuwa ndo mzigo, ingekuwa mapato kiasi gani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…