Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Katika hali ya kushangaza Serikali ya Kenya imezuia unga wa ngano na gas ya kupikia kutoka Tz.
Hata hivyo Serikali ya Tanzania imetoa taarifa na kueleza itakishughulikia na ikizingatiwa Kenya imevunja makubaliano ya EAC.
MICHUZI BLOG: Taarifa Kuhusu zuio la kuingiza gesi asilia na unga wa ngano nchini Kenya
Kenya imeanza kulia lia kama mtoto na kuvunja makubaliano ya EAC. Naona wivu mkali ukionekana waziwazi kutoka kwa ndugu zetu wakenya. Chuki dhidi ya Tanzania kutoka kwa wakenya inakomaa siku baada ya siku. Hii ni kutokana na Tanzania kutangaza kuingia ktk mpango wa viwanda. Vita ni vita mura. Subirini na sisi tutawajibu.