Na mpemba na wakinga usiwasahau mkuu [emoji1] [emoji1] maana kariakoo wamejaa wao tu na wachaga.Ni kweli hayo makabila ni moto, lakini inabidi kupambanisha Wachagga, Wakikuyu, na Wahindi. Nadhani hiyo utakuwa mechi kali ya kununua gunia zima la popcorn.
Wapambanaji ni wengi aiseeNa mpemba na wakinga usiwasahau mkuu [emoji1] [emoji1] maana kariakoo wamejaa wao tu na wachaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasema nani aliibuka mshindi kati yako na wachagga.
Ni kweli hayo makabila ni moto, lakini inabidi kupambanisha Wachagga, Wakikuyu, na Wahindi. Nadhani hiyo utakuwa mechi kali ya kununua gunia zima la popcorn.
tanzania kuna jamii nyingine ambayo inakuja kwa kasi kubwa sana katika ujasiriamali.wanaitwa wakinga toka wilaya ya makete mkoa wa iringa.
bila shaka MK254 atakuwa alishawahi kuwasikia.wakinga kwa kiasi kikubwa ndio wanaotoa ushindani kwa wachaga katika biashara.
baadhi ya maduka mbalimbali yaliyopo kariakoo ni ya vijana wakinga.sasa hivi wamejiingiza katika biashara ya real estate.
baadhi ya magorofa ya kariakoo ni ya wakinga, walinunua nyumba za kawaida toka kwa waswahili wa eneo hilo na baadae kujenga majengo makubwa.
vijana wengi wakinga(japo sio wasomi sana) ni watafutaji wazuri,wanasafiri sana Dubai na China kuchukua bidhaa mbalimbali na hatimaye kufungua maduka mkubwa ya wholesale dar,iringa na mbeya.
kuna tuhuma mbaya ambayo huusishwa nayo,si nyingine ni ushirikina.
inasemekana wakinga wanatumia sana ushirikina katika biashara zao.
inasemekana pia kuwa wengi wao waliofanikiwa kibiashara walitoa kafara watoto wao,wazazi au mke.hapo ndio wakinga kiboko ya wachaga.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua muhindi atakuwa wa mwisho, kumwibia muhindi bila yeye kujua rahisi sana!Ni kweli hayo makabila ni moto, lakini inabidi kupambanisha Wachagga, Wakikuyu, na Wahindi. Nadhani hiyo utakuwa mechi kali ya kununua gunia zima la popcorn.
Ilitakiwa chuo chochote kifanye utafiti wa hayo makabila mawili, lazima DNA zenu zinatoka mbali sana na Africa. Waafrika wengi ni wapole.Mchagga na Mkikuyu ngoma huwa droo, tukikutana huwa inabidi tuheshimiane na kila mmoja atulize ili mambo yaende, ni kama Mrusi na Mmarekani. Lakini akiingilia mtu kati, anaishia kilio.
Ipo siku nilicheka sana, tulikua tunajadili mradi fulani hapo Dar, kikao kilikua cha wadau wanne, mimi, jamaa mmoja Mchagga na jamaa wengine kutokea Tanga na Mwanza.
Sasa kwenye gumzo za kawaida tukaanza kutaja asili zetu, aisei pale Mchagga na mimi Mkikuyu tulipojitambulisha, wale wengine wakapiga mayowe kwamba wameisha maana kuwahusisha Mchagaa na Mkikuyu kwa mpigo kwenye mradi wao watakua wameisha, tulicheka sana.....ila mradi tuliufanya kwa ushirikiano na mambo yakaenda sawa hatimaye.
Really? Hao jamaa (wahindi) wamejaa dunia nzima wanapiga hela kila upande.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua muhindi atakuwa wa mwisho, kumwibia muhindi bila yeye kujua rahisi sana!
Najuwa wakinga ni waangaikaji na wanatabia ya kuamini wanafanya nao biashara, lakini isitoke ukamzulumu Mkinga, atakumakiza kabisa.Umewasahau ingizo jipya la Wakinga ,hawa wanakimbiza wachaga huko Kariakoo.Tofauti ya mkinga na mchaga ni kwenye matumizi ,wachaga wanatumia pesa lakini wakinga ni wabahili yaani unaweza kuwahesabu wanaokwenda viwanja, pia wakinga washirikina balaa
Wapo kila sehemu kwa sababu ya historia ya ukoloni, na kila sehemu walipo utakuta ni raia wa hapo kabisa! Hivyo sio kuwa walitoka kwao kuja huku kuchuma noti (kama wafanyavyo wazungu/wachina) ila wao walikuja kipindi cha utumwa japo walikuja kibiashara lakini ndo wakalowea kabisa!Really? Hao jamaa (wahindi) wamejaa dunia nzima wanapiga hela kila upande.
Hawajui kunywa maji kama nyinyi waswahili!πKwa nini wakenya karibia wote ni weusi tukiacha wale wa pwani Mombasa.
tatizo ni dhamira zetu za kinafiki kiasi kwamba yoyote thubutu kufanyia utafiti hilo,wengine watamchukukia mkabila.Ilitakiwa chuo chochote kifanye utafiti wa hayo makabila mawili, lazima DNA zenu zinatoka mbali sana na Africa. Waafrika wengi ni wapole.
Nimesikia Wachina wanasema wamepata makaburi ya ndugu zao wa kale hapo Kenya.
Wapo kila sehemu kwa sababu ya historia ya ukoloni, na kila sehemu walipo utakuta ni raia wa hapo kabisa! Hivyo sio kuwa walitoka kwao kuja huku kuchuma noti (kama wafanyavyo wazungu/wachina) ila wao walikuja kipindi cha utumwa japo walikuja kibiashara lakini ndo wakalowea kabisa!
Mchaga na mkikuyu hawawezi kulowea hata ufanyeje, watapiga hela mwisho wa siku lazima warudi kwao!
Pia angalia, watu wengi sana wametajirika kupitia migongo ya wahindi! Sio kwa kulipwa mshahara ila kwa kuwaibia bila wao kujua! wahindi ni moja ya watu wanaolipa mishahara kiduchu sana!
Sasa tafuta kama kuna mtu utakuta eti mali yake alitoa kwa mchaga au mkikuyu! Hawa jamaa wanaweza kukuibia hadi mshahara wanaokulipa! Anaweza kuwa anakukopesha vitu kila siku akija kukulipa mshahara unakuta nusu inabaki kwake!
Haya mambo muhindi hawezi! Yeye anataka kila siku uonekane hujaendelea basi anarizika.
tatizo ni dhamira zetu za kinafiki kiasi kwamba yoyote thubutu kufanyia utafiti hilo,wengine watamchukukia mkabila.