nimeikubali hii comment , huu ndoo u great thinker wenyeweTanzania tatizo ni kwamba 98% ya income ya wafanyakazi ilikuwa inatokana na posho hewa, mishahara hewa, wanafunzi hewa, mafao hewa nk na ndio maana ukiitisha mgomo wale wachache wasioiba wanazidiwa nguvu na wengi wenye 'maslahi hewa'. Kama JPM akiweza kumaintain hii kasi nina uhakika mwaka kesho ukiitisha mgomo wote wataweka zana za kazi chini.
Serikali ya Kenya imetangaza kuongeza 40% kwenye mishahara ya madaktari waliogoma nchini humo ili kumaliza mgomo uliodumu zaidi ya mwezi
Uku unauwawa au wana Kuulimboka.
Mkuu unajua tena hapa hatutumii takwimu za kisayansi na ndio maana ukileta utafiti wa kisayansi unatumbuliwa.Lukindo hiyo % umeitoa wapi,au stori za Mr.hewa zinakuchanganya? mimi mtumishi wa kawaida tangu 2014 till,now kiukweli sijawahi pata posho haramu.Napata tu kaovertime,kalunch mbuzi.Tangu enzi normal civil servants of Tanzania hali ngumu
Huku walitaka kumuua ulimbokaSerikali ya Kenya imetangaza kuongeza 40% kwenye mishahara ya madaktari waliogoma nchini humo ili kumaliza mgomo uliodumu zaidi ya mwezi
They have a reference to demand more! They are not stupid!Kila mtu anataka zaidi ingawaje kilichopo ni kidogo na hakimtoshi kila mtu, ni Ubinafsi na roho mbaya iliyopindukia! Madaktari nchini Kenya ambao wako kwenye mgomo walikutana na Raisi wa Nchi hiyo Uhuru Kenya na kuwaahidi ongezeko la 40% (usahihisho sina uhakina na namba), ili wasitishe mgomo na kurudi kuhudimia masikini, leo hii nimesoma wamegomea hilo ongezeko na wanaendelea na mgomo!
Hili jambo linanishangaza sana, hivi kama kila mtu akitaka kulipwa kiasi kikubwa kuanzia Walimu, Askari, na Wafanyakazi wengine wote nao wasitishe kugoma hiyo pesa itatoka wapi? Kwa nini hatuko tayari kujitolea yaani kufanya kazi kwa kipato kidogo kilichopo kwa ajili ya Nchi?
Doctors reject Uhuru pay rise offer