Kila mtu anataka zaidi ingawaje kilichopo ni kidogo na hakimtoshi kila mtu,
ni Ubinafsi na roho mbaya iliyopindukia! Madaktari nchini Kenya ambao wako kwenye mgomo walikutana na Raisi wa Nchi hiyo Uhuru Kenya na kuwaahidi ongezeko la 40% (usahihisho sina uhakina na namba), ili wasitishe mgomo na kurudi kuhudimia masikini, leo hii nimesoma
wamegomea hilo ongezeko na wanaendelea na mgomo!
Hili jambo linanishangaza sana, hivi kama kila mtu akitaka kulipwa kiasi kikubwa kuanzia Walimu, Askari, na Wafanyakazi wengine wote nao wasitishe kugoma h
iyo pesa itatoka wapi? Kwa nini hatuko tayari kujitolea yaani kufanya kazi kwa kipato kidogo kilichopo kwa ajili ya Nchi?
Doctors reject Uhuru pay rise offer