Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ni Wananchi wakenya.Then wananchi wa kawaida wanafidika nn kwa uchambuzi wa pande zote mbili???
Tatizo sio idadi kubwa ya wazungu kenya tatizo nikwamba hao hao wazungu wachache ndio wanamiliki zaidi ya nusu we uchumi wa kenya# napata shida na uelewa mdogo wa wakenya nashindwa pata kujuelewa quality of education nindogo kiasi gani # shame on YouCha kushangaza ni kuwa wazungu hawajafika hata 1% ya 'population' yote ya Kenya. Kwa hivyo hesabu yako ni ya kukariri tu kama ile ya 1,2,3 kwenye shule ya chekechea! Kijana tembea ujionee na macho yako!
Umetoa wapi hizi stats?? Whites are not even among the richest Kenyans, they are farmers ama Kenyan cowboys as they refer to themselves.black Kenyan will continue suffering until Lucifer come to them # hii ni kwakuwa kenya bado colony la mzungu na uchumi wa Kenya 90 % is white owned economy
We boya tuletee mada zimefanyiwa utafiti si hisia zako za kike. Tuelezee hao wazungu wanaomiliki 90% ya Kenya's economyTatizo sio idadi kubwa ya wazungu kenya tatizo nikwamba hao hao wazungu wachache ndio wanamiliki zaidi ya nusu we uchumi wa kenya# napata shida na uelewa mdogo wa wakenya nashindwa pata kujuelewa quality of education nindogo kiasi gani # shame on You
whites include all foreigners plus Indian # Kenya as country dont have inclusive economy unlike The United TanzaniaUmetoa wapi hizi stats?? Whites are not even among the richest Kenyans, they are farmers ama Kenyan cowboys as they refer to themselves.
How are Indians white? This is a mere opinion btw, unless you can show us the maths, show us the stats matewhites include all foreigners plus Indian # Kenya as country dont have inclusive economy unlike The United Tanzania
Hizo takwimu umetoa wapi? Kwamba watu ambao hawajafika asilimia MOJA ya wakenya wote wanamiliki Kenya nzima? Au ndo mlichokaririshwa na fisiemu wakati mnalishwa wali na kufukuza mwenge?Tatizo sio idadi kubwa ya wazungu kenya tatizo nikwamba hao hao wazungu wachache ndio wanamiliki zaidi ya nusu we uchumi wa kenya# napata shida na uelewa mdogo wa wakenya nashindwa pata kujuelewa quality of education nindogo kiasi gani # shame on You
These guys are so desperate to believe kila kitu negative about Kenya manHizo takwimu umetoa wapi? Kwamba watu ambao hawajafika asilimia MOJA ya wakenya wote wanamiliki Kenya nzima? Au ndo mlichokaririshwa na fisiemu wakati mnalishwa wali na kufukuza mwenge?
Jamaa kahama jukwaa la lavu konnekti na akili zake za kuazima. Elimu, elimu, elimu watanzania wengine bana! Yaani hata wasauzi weusi hawakuwagi na akili maandas kiasi hicho.How are Indians white? This is a mere opinion btw, unless you can show us the maths, show us the stats mate
Mfano ni omba omba kutoka Tz walotapakaa kwenye miji ya Kenya. Afu kwa akili zenu mnasema wanatoroka utajiri kwenye nchi yao. Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya maskini Tz ni kubwa kuliko Kenya. Lakini mtajuaje wakati mpo radhi kukomalia vijiweni mkila chipsi mayai na kubugia kahawa. Yaani watz kwa usingizi nawapa heshima. Hamjui kujituma wala kujinasua, nyie mmezubaa tu ndo maana Tanzanite tulizitafuna hadi basi.Mfano ni Wananchi wakenya
Kufikia uamuzi wa kuua watoto wao kwa mikono yao ili kuwaepusha na kifo cha mateso ya njaa
nawengine wakimuomba mungu mbwa wazaliane wapate walau maziwa yake kulishia watoto!!
Kenya hovyo kabisa
nimeishi nchi zote hixo nafahamu vemaHizo takwimu umetoa wapi? Kwamba watu ambao hawajafika asilimia MOJA ya wakenya wote wanamiliki Kenya nzima? Au ndo mlichokaririshwa na fisiemu wakati mnalishwa wali na kufukuza mwenge?
Jamaa kahama jukwaa la lavu konnekti na akili zake za kuazima. Elimu, elimu, elimu watanzania wengine bana! Yaani hata wasauzi weusi hawakuwagi na akili maandas kiasi hicho.
Jamaa kahama jukwaa la lavu konnekti na akili zake za kuazima. Elimu, elimu, elimu watanzania wengine bana! Yaani hata wasauzi weusi hawakuwagi na akili maandas kiasi hicho.
Jamaa kahama jukwaa la lavu konnekti na akili zake za kuazima. Elimu, elimu, elimu watanzania wengine bana! Yaani hata wasauzi weusi hawakuwagi na akili maandas kiasi hicho.
Jamaa kahama jukwaa la lavu konnekti na akili zake za kuazima. Elimu, elimu, elimu watanzania wengine bana! Yaani hata wasauzi weusi hawakuwagi na akili maandas kiasi hicho.
Jamaa kahama jukwaa la lavu konnekti na akili zake za kuazima. Elimu, elimu, elimu watanzania wengine bana! Yaani hata wasauzi weusi hawakuwagi na akili maandas kiasi hicho.
akili maandazi ndio nini nifahamishe# maandazi yapiJamaa kahama jukwaa la lavu konnekti na akili zake za kuazima. Elimu, elimu, elimu watanzania wengine bana! Yaani hata wasauzi weusi hawakuwagi na akili maandas kiasi hicho.
Jione! Mtu yeyote ambaye amefika Kenya anajua unachosema ni upuuzi mtupu. We tulia huko huko vijiweni, unatafuta kiki tu lakini unajiabisha sana.nimeishi nchi zote hixo nafahamu vema
Ruka juu, ukishatua chini, utanusa uvundo wa maandazi ya juzi ukitoka kwenye pua na masikio yako.akili maandazi ndio nini nifahamishe# maandazi yapi
Kiuchumi hatuangalii idadi ya watu kuwa wingi ndo kumiliki asilimia kubwa ya uchumi ila tunaangalia who is the controller of the marketCha kushangaza ni kwamba wazungu hawajafika hata 1% ya 'population' yote ya Kenya. Kwa hivyo hesabu yako ni ya kukariri tu kama ile ya 1,2,3 kwenye shule ya chekechea! Kijana, tembea ujionee kwa macho yako!