joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya’s super rich now control two thirds of Sh6.2trn economyTakwimu ziko wapi hizo za kuonesha Kenya inamilikiwa kwa asilimia tisini na wazungu. Hao wazungu pia majina yao nayangoja. Au ndo upo kwenye shughuli ya kutafuna minofu ya albino? Maliza fasta basi. Afu ukishashiba pitia ujumbe wa Kafrican hapo juu.
Ripoti hii iliyofanywa kwa muda wa miaka miwili na jopo la wataalamu wa dunia, inaonyesha ni watu 8500 pekee wanamiliki 2/3 of your economy