Hiyo sijui economic inclusiveness concept .....
Mna-assume Wahindi ni Watanzania,ila sio Watanzania kiivyo kama mnavyodhani,wana double passports,na ndio wanamiliki 90% ya uzalishaji Tanzania
Ukienda deeper kwenye hizo Takwimu za Tanzania,Wahindi sio really wanapenda kua Watanzania to begin with,hivyo hakuna inclusiveness yeyote mnayotanulia matako hapa
Hizo international bodies za takwimu zilipewa "mamlaka" na nani wewe kiazi?
Nashindwa kukuelewa na neno "mamlaka"....hizi ni independent organizations na wala hazijapewa "mamlaka" na mtu au wananchi wa dunia hii....
Ni self made organizations
Hao Wazungu wa Kenya clear cut passports zao sio za Kenya na wala hawapendi uraia wa Kenya,ni raia wa original nchi zao,ndio maana unaona report inasema sio inclusive
In Tanzania na hawa Wahindi wetu kuna reality underneath,kwamba hawa Wahindi kwanza hawapendi Utanzania kama uraia wapo kujenga mali..Mistakenly wao wanadhani ni raia na wanapenda Tanzania kiivyo kumbe sio kweli...Ni sawa na Wazungu wa Kenya tu....
Hakuna tofauti ya Tanzania na Kenya na hiyo inclusiveness yako unayosemea hapa...reality ni kwamba 90% ya uchumi wa Tanzania wanamiliki Wahindi,kuhusu uraia zao ni complex issue hata hayo mashirika ya hizo report seemed to be confused of...
Wewe kuamini mashirika ya takwimu,ni sawa na mimi,shida tafsiri unayofanya ya hizi takwimu ndio unafeli wewe kama wewe!
Hizo mali unazodai Watanzania wote inclusive ni a big lie maana unashindwa kuelewa hizo takwimu vizuri,umechukua on the surface bila deeper analysis...
Watanzania more than 52% ni the poorest in the world,halafu uniambia wanamiliki 90% ya uchumi wa Tanzania?You must be stupid
Hivyo,get along with the program!