Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Naweza kuwa mjinga kwa akili zako lkn kamwe siwezi kufurahia ujinga wako! Ungeniambia Watanzania gani weusi unaowaongelea kumiliki uchumi wa Tanzania kulinganisha na uchumi wa Kenya kumilikiwa na wageni ningekuelewa. Taifa ambalo tumefikia hatua ya kutoa hadi promotion kwa watu aina ya Dr Shika unatarajia watu wake wamiliki uchumi wa Nchi kwa 80%??Huyu mwengine mjinga #,hajui maana ha inclusive economy na economic balance # nchi inaweza ikawa na uchumi mkubwa lakin ina maskini wengi kuzidi nchi yenye uchumi mdogo# kwa mfano huku South America Brazil ni nchi yenye uchumi mkubwa compared all countries in south america lakin ni nchi maskini na raia wake wengi ni maskin ukifanisha na McGowan zenye uchumi mdogo kama Uruguay ,Argentina na chile ambayo ndio the only first world county in the south America
Unaongelea uchumi gani wewe?