Kenyan media houses against Tanzania

Sisi hatujashikiwa akili kama ninyi, kama mmeamua kufuata template kwendeni nayo. Rais wetu ni huru kuamua vile anataka kwa maslahi ya nchi yake sio wakwenu aliyeshikwa akili na brits na kusahau ndugu zake wanaolala mabandani
 
Siwezi kubishana na wewe, subiri hero wako anaenda kukaliwa kooni, believe me ataimplement WHO guidelines bila kupenda, ikiwemo lockdown.

Dunia hii wapo vichwa maji zaidi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaomba utuonyeshe hiyo guideline ya WHO kwanza ili tuijue, inaonekana huna ufahamu wowote kuhusu tofauti kati ya "Guideline, Recommendations na Advices".

Kamwe WHO haijasema lolote kuhusu kutangaza kwa matokeo ya Corona hadharani, kama unaushaidi kwamba WHO wamesema kula nchi ni lazima itangaze hadharani kila siku, tafadhani tuonyeshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are playing games here, an advice from an organisation such as WHO on a pandemic like COVID-19 if ignored will result to what we are now seeing in Brazil and Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko mbona mbali mwambie atafsiri hiki alichoandika (i) kwa kiswahili na (ii) kwa uwingi
Yaani kiswahili chetu tume hangaika nacho weee, Nyerere kahangaika nacho kukisambaza nchi nzima, baadae kukisambaza duniani, serikali imewekeza mapesa mengi kwenye kukisanifu, kukikuza, kukisimamia

Wasanii wetu wamehangaika nacho kukitangaza na kukitambulisha ulimwenguni kote kupitia kazi za za kisanaa leo kiswahili kimekua maarufu kinasifika huko mitandaoni kwenye platforms za wasanii wetu mpaka saivi kiswahili ndio African language inayoongoza kufundishwa Marekani

Ghafla minyang'au iliyokua daima dawamu inatucheka na kuita lugha yetu ya kishenzi kwamba English hatujui ndio maana tunajibaraguza na Kiswahili chetu, leo kimependeza kimechanua Ghafla bin vuu kimekua Chao 😂😂😂😂😂😂


Ila uzuri mmoja hata waking'ang'ania bado Hakuna Mkenya anayeishi kwa sasa anaweza kuongea sentence mbili za kiswahili sanifu, ukiwasikiliza tu wasomi wao wa lugha wa naongea utopolo mtupu 😅😅😅
 
Tunga insha ya maneno yasiyopungua 500 juu ya chimbuko LA Kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Insha ndefu, chukua wimbo wowote wa Tanzania huko youtu.be mwambie akutafsirie neno kwa neno kwenye lyrics za huo wimbo

Yaani wakenya 99% wanasikiliza bongoflava bila kujua maana ya almost 95% ya lyrics za hizo nyimbo, means wasanii wa bongo wanaweza kutunga nyimbo za matusi kuwatukana wakenya na Wakenya wakazicheza na kuzifurahia hizo ngoma bila kustuka wanatukanwa.
 
And always Tanzanian media are waiting for Kenyan Covid 19 updates! Kenya wakitangaza kuongezeka kwa wagonjwa basi media za Tanzania zinawahi kuandika habari hiyo kupita hata media za Kenya, hii itoshe kuonyesha kuwa watanzania wanasubiri cha kuandika ila hawapewi wanasubiri za Kenya, Uganda na nje ya Afrika, uhuru wa vyombo vya habari kitanzini!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha... Guideline definition:
A general rule, a principle or piece of advice.

Kuna watu wanapenda ligi sijawahi kuona. Haya nenda kwenye website ya WHO utaziona, little monkey!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tha answer is very simple and clear.
Tanzania media has been cut off no freedom of speech in Tanzania.

So we all due respect we thanks our sisters Kenyan for speaking out on behalf. And we urge our Kenyan friend to help Tanzania the new Wuhan and hotbed of Africa coronavirus.
#ukaidi wa magufuli
 
Magufuli ni tishio kwa uchumi wa kenya hatua zake za kuimarisha uchumi wa Tanzania
Kelele za wakenya hazinistui
Usijitoe ufahamu.

Magufuli anaua uchumi wa Tanzania.

Kwa akili za kitoto tu. Niambie kafanya juhudi gani kuinua uchumi unaoangamizwa na virus?

Usijitoe ufaham aisee labda kama baba yako ni waziri hapo nitakuelewa au labda wewe ni msuKUMa upo chato hapo nitakuwa sina shida na wewe
 
Tz Media i s under strict censorship!
Tz has no independent media,the same is controlled by state machinations. How foolish is her people!
Jamaa grammar ni sifuri kabisa. Kwanini hakuandika Kiswahili? Eti Media houses has..., as a point to interferes.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naye anaamini akisifia kama alivyofanya Mwigulu, atasikika na hatimaye kuonekana. Shame.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ni tishio kwa uchumi wa kenya hatua zake za kuimarisha uchumi wa Tanzania
Kelele za wakenya hazinistui
Yaani wakenya wanamchukia magufuli sababu kuu ni hii
 
You are playing games here, an advice from an organisation such as WHO on a pandemic like COVID-19 if ignored will result to what we are now seeing in Brazil and Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni ipi?, Kenya ina idadi kubwa ya vifo kuliko Tanzania, na Tanzania ina idadi kubwa ya wagonjwa kuliko Kenya. Mapendekezo yapi ya WHO ambayo Tanzania haijayafuata lakini Kenya inayafuata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha kuripoti kile kilichotangazwa na vyombo vya habari vya Kenya kama vilivyo bila kubadilisha, hiyo ndio kazi na jukumu la media zote. Tatizo vyombo vyenu vya habari vinatangaza mambo ya Tanzania bila kujtaja " sources" za hizo habari, wanatangeneza habari za uzushi kwa sababu ya wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie basi mamlaka za Tz zitoe habari, wengine wanataka kuandika zenu ila hamtoi sasa, inabidi kinachopatikana ndo kiandikwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikuambia, Tanzania kwa siku wanaondoka wa kutosha...hata picha tu huoni, umejificha kwenye pango gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…