Kenyan media sector VS Tanzania media sector

Ahaaa haaa haaa
acha povu bwana mdogo.
kweli Tanzania media zake ni za hovyo wakati kituo pendwa cha ITV kinapata tuzo za SUPER BRAND EAST AFRIKA MIAKA MITATU MFULULIZO?

Teh teh teh tihiii
Mnajitekenya wenyewe kisha mnacheka kwa nguvu nyingiii. Mbona list ya Superbrands za kikenya ipo, hilo tuzo za E.A mlipewa lini na wapi na nani? Unabisha sana wakati unajua kabisa kwamba quality ya media za Kenya mpo mbali sana kuifikia.
 

hahahahaha sasa we simba wa chamwino embu sikia wale brand finance ni kampuni tu kama kampuni zengi za marketing ila wao wamekuja na tuzo zao za brandy just a brandy na sio kwamba eti mtu akishinda tunzo ya superbrany ndio kusema ni bora , bro open your eyez screen out side the box and came back TZ media za bongo bado sanaaa sasa mfano wale redio maarufu hapa tz ya C*** embu ifananishe na NRG FM ya Nairobi bro unaweza zirai yaani studio classic yaani every equipment is super B lkn wanaopata tuzo hao studio yao kama sebule ya don
 
Acha hekaya za abunuasi wewe , how do you know that they are not trained in the mentioned professional? Ama unataka kila mwanahabari awe anatangaza amesomea nini ndio uridhike?Nakumbuka Julie Gichuru alikua anahojiwa na alisema hajawahi somea journalism yeye alifanya law lakini alipotafuta kazi pale ktn aliuliza mbona amechukuliwa licha ya yeye kua mwanasheria na wale HR walimjibu kua walimchukua Kwa sababu yeye ni mwanasheria na tena amefanya ile criminal law na itasaidia Sana haswa kupata taarifa kutoka upande wa mahakama .Kwa hivyo hicho ni kiashiria kua media house inaajiri mwanahabari kulingana na mahita ya idara mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam imewekeza nini kwenye media industry? Wana products aina ngapi? Na Azam yenyewe turnover yake ni ngapi?.utakua mtu ambaye hana maana ukikompea Azam na NMG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi nilikua nafwatilia cloud tv,Kwa siku mbili mtawalia walikua na tangazo moja Tu la Coca-Cola mpaka nikajiuliza kwani kampuni za kitanzania hazinaga vitu za kutangaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I didn't say I know.. It was just a recommendation that it should be a requirement. If there are any that have such qualifications, good, I wish all would or most.

Do you think they would have the githeri media tag if we were OK..
They pull some of the weirdest stunts sometimes.
 
Even CNN sometimes do pull the weirdest stunt and you know that very well,but you can't make a blanket judgement because of that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam imewekeza nini kwenye media industry? Wana products aina ngapi? Na Azam yenyewe turnover yake ni ngapi?.utakua mtu ambaye hana maana ukikompea Azam na NMG.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni studio moja 2015! By Giordano designs, hawa hamna media kouse inaeza walipa hapo Kenya. Halafu huyo Tido alikua top wa BBC huko London. Wengine wengi wamevutwa kutoka Asia na Europe kuja kuongeza uweledi! Sasa kabla hatujaenda kwenye mapato niambie cost za studio ya Citizen!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Even CNN sometimes do pull the weirdest stunt and you know that very well,but you can't make a blanket judgement because of that.

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't want us to look up to CNN. Is it wrong that I want the best, it is because we got comfortable and super commercial that we are loosing reporting integrity. There is so much self interest, poor research, sorry interview skills and honestly no follow up. and to think they set the agenda for the country and mirror our mood.
 
iv na huko kenya wenzetu mnaona hata tv station moja ya Tz ktk ving'amuzi / visimbusi (decoder) zenu ? swali kwa wa Kenya au MTz aliyewapi fika KE recently pls let me know ?
 


Watangazaji wenyewe wanaokotwa tu mitaani kukithi mahitaji ya boss. Hawana weledi wowote wala uelewa wa kazi waifanyayo, wako standby kuvuliwa chupi at any time na boss akipandwa na mzuka.
 
Watangazaji wenyewe wanaokotwa tu mitaani kukithi mahitaji ya boss. Hawana weledi wowote wala uelewa wa kazi waifanyayo, wako standby kuvuliwa chupi at any time na boss akipandwa na mzuka.
Ila tusijadili kwa kutuhumu vibaya nazani kila kitu wanachokifanya kinasababu na #siri wazijuazo zao wao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tusijadili kwa kutuhumu vibaya nazani kila kitu wanachokifanya kinasababu na #siri wazijuazo zao wao


Sent using Jamii Forums mobile app


Hapana, hapa Tanzania watangazaji wako so fake na dhana hii ilianzishwa na Clouds Media, Ruge alikuwa anajiokotea tu mademu wa mjini na kuwapa ajira mwisho wa siku anawachapa atakavyo kisha kuwagombanisha (kina Zama na wenziwe) huku akiwacheka kumgombania yeye. Baada ya hili la Clouds, wenye media wengine nao wakaanza kumunonea gere Ruge nao wakaanza kumuiga. Ndiyo maana unakuta karibia ya watangazaji 98% wako so fake mpaka mtu unashindwa kuangalia TV. Wanajifanya too much Kiingereza wakati hawajuwi lolote, yaani they are pathetic haswa Clouds Media.
 
dah apa nmeanza kukupata ila wakati ule clouds ndo imeanzishwa ilkua ikisifka kwa vipindi vyao na ubunifu wao ani wako tofauti na MEDIA zote ilkua ni #kweli


ila Saivi imerudi kuwa sawa tu kama TBC amna issue tutazidi angalia za njee (MEDIA)

TANZANIA Nchi angu Naipenda ila Hatuna ubunifu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I used to watch clouds TV kwa star times.Hamchezi nyimbo za Kenya.


ah we ndugu ni muongo jameni mbona zinachezwaaaa sanaa alafu bongo nzima clouds tv sio tv pekee tu ya burudani cheki EATV ndio wakali izi kaziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…