luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #61
hahahahahaha we blaza umetoa kali ya mwakaaa alafu wengi unawakuta wanashida ya R na L yaani wanakeraaaa japo ni biological disabilitiesWatangazaji wenyewe wanaokotwa tu mitaani kukithi mahitaji ya boss. Hawana weledi wowote wala uelewa wa kazi waifanyayo, wako standby kuvuliwa chupi at any time na boss akipandwa na mzuka.