Kenyan media sector VS Tanzania media sector

Kenyan media sector VS Tanzania media sector

Watangazaji wenyewe wanaokotwa tu mitaani kukithi mahitaji ya boss. Hawana weledi wowote wala uelewa wa kazi waifanyayo, wako standby kuvuliwa chupi at any time na boss akipandwa na mzuka.
hahahahahaha we blaza umetoa kali ya mwakaaa alafu wengi unawakuta wanashida ya R na L yaani wanakeraaaa japo ni biological disabilities
 
hahahahahaha we blaza umetoa kali ya mwakaaa alafu wengi unawakuta wanashida ya R na L yaani wanakeraaaa japo ni biological disabilities

Yaani wako very useless, hiv kale ka Boss Lady kana ujuzi gani jamani....kako so fake mpaka kanaboa.
 
Back
Top Bottom