Kenyan MP has asked KDF to man Tanzania-Kenya border

Kenyan MP has asked KDF to man Tanzania-Kenya border

Wakat Rais wenu anatuma salama za kutaka watu wakae mezan yaishe baada ya kuchukuliwa hatua na Tanzania ya kuziwia mipaka nyie bado mnapiga porojo kua nyie ndio mnapigana Vita wakat mmesha sarenda
 
Hawa watu wamechafukwa vibaya mno...Sasa nikudunda nao tone moja tu.
 
Wakat Rais wenu anatuma salama za kutaka watu wakae mezan yaishe baada ya kuchukuliwa hatua na Tanzania ya kuziwia mipaka nyie bado mnapiga porojo kua nyie ndio mnapigana Vita wakat mmesha sarenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna rais anetuma yule jamaa. Kwanza umeona kile kichapo kinaendelea kule Namanga? Watanzania hawaamini😂😂
 
Shigela kaongea kidogo kenyatta kaongea mpaka mambo ya uongo eti alikua anataka kuja kukaa Tanzania, 🤣🤣🤣🤣

Ila Tanzania sio mchezo, Kabudi wanamtafuta kama lulu atulize hali ya hewa.
Ohho sijui nilirudisha dhahabu yenu, ohho sijui nilikuwa wa kwanza kuja Chato!? Nani kakuuliza??

Aiseee Njaa mwana malewa...! Wakenya humu wajue the meaning out of those statements, Uhuru is cornered! Hamna cha Ethiopia wala Uganda! Gap la chakula cha Tanzania kiindi hiki cha floods lazma lizibwe na chakula cha overseas Mexico! Ile Rapid credit Facility ya IMF itaishia kununua dona badala ya ku-serve businesses through soft loans na kujenga infrastructure iliyosombwa na inayosombwa na mvua!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Wakat Rais wenu anatuma salama za kutaka watu wakae mezan yaishe baada ya kuchukuliwa hatua na Tanzania ya kuziwia mipaka nyie bado mnapiga porojo kua nyie ndio mnapigana Vita wakat mmesha sarenda

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe hivi mbona mnalazimisha ionekane isivyo, balozi wetu ametolea maelezo ya kwanini haturuhusu yeyote kuingia bila kupimwa, hivyo lazima mpimwe haingii mtu hapa, acheni njaa zenu. Hata mlie lie vipi, kila mtu lazima apimwe.
 
Shigela kaongea kidogo kenyatta kaongea mpaka mambo ya uongo eti alikua anataka kuja kukaa Tanzania, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila Tanzania sio mchezo, Kabudi wanamtafuta kama lulu atulize hali ya hewa.
Ogopa sana njaa [emoji23]
 
Utakua hujaelewa vizur nenda kamsikilize tena
Hehehe hivi mbona mnalazimisha ionekane isivyo, balozi wetu ametolea maelezo ya kwanini haturuhusu yeyote kuingia bila kupimwa, hivyo lazima mpimwe haingii mtu hapa, acheni njaa zenu.
Hata mlie lie vipi, kila mtu lazima apimwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna haja ya kuingia vitani kisa corona
 
Back
Top Bottom