Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
MY TAKE
Lets see how this will go, pretty sure Tanzania will do the same if KDF is deployed at the border as that means to provoke a neighbor according to International laws!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna rais anetuma yule jamaa. Kwanza umeona kile kichapo kinaendelea kule Namanga? Watanzania hawaamini😂😂Wakat Rais wenu anatuma salama za kutaka watu wakae mezan yaishe baada ya kuchukuliwa hatua na Tanzania ya kuziwia mipaka nyie bado mnapiga porojo kua nyie ndio mnapigana Vita wakat mmesha sarenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah unajua implication yake sio? Msijiongezee mabalaa! 😀 😀 😀
Nyie nyang'au bado tunawaonea huruma tu. Tukianza kuwashughulikia kisawasawa mtabaki kulia lia kama watoto wadogo.Hakuna rais anetuma yule jamaa. Kwanza umeona kile kichapo kinaendelea kule Namanga? Watanzania hawaamini😂😂
HelloooNyie nyang'au bado tunawaonea huruma tu. Tukianza kuwashughulikia kisawasawa mtabaki kulia lia kama watoto wadogo.
Prove?.Hakuna rais anetuma yule jamaa. Kwanza umeona kile kichapo kinaendelea kule Namanga? Watanzania hawaamini😂😂
Acha masihara mkuu, una maanisha alitaka kuhamia huku kabisaShigela kaongea kidogo kenyatta kaongea mpaka mambo ya uongo eti alikua anataka kuja kukaa Tanzania, 🤣🤣🤣🤣
Ila Tanzania sio mchezo, Kabudi wanamtafuta kama lulu atulize hali ya hewa.
Ohho sijui nilirudisha dhahabu yenu, ohho sijui nilikuwa wa kwanza kuja Chato!? Nani kakuuliza??Shigela kaongea kidogo kenyatta kaongea mpaka mambo ya uongo eti alikua anataka kuja kukaa Tanzania, 🤣🤣🤣🤣
Ila Tanzania sio mchezo, Kabudi wanamtafuta kama lulu atulize hali ya hewa.
Wakat Rais wenu anatuma salama za kutaka watu wakae mezan yaishe baada ya kuchukuliwa hatua na Tanzania ya kuziwia mipaka nyie bado mnapiga porojo kua nyie ndio mnapigana Vita wakat mmesha sarenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa sana njaa [emoji23]Shigela kaongea kidogo kenyatta kaongea mpaka mambo ya uongo eti alikua anataka kuja kukaa Tanzania, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Tanzania sio mchezo, Kabudi wanamtafuta kama lulu atulize hali ya hewa.
Hakao kanchi ni kakuonea huruma tu..
Hehehe hivi mbona mnalazimisha ionekane isivyo, balozi wetu ametolea maelezo ya kwanini haturuhusu yeyote kuingia bila kupimwa, hivyo lazima mpimwe haingii mtu hapa, acheni njaa zenu.
Hata mlie lie vipi, kila mtu lazima apimwe.