Kenyan police ranked Wold's third worst by World Internal Security and Police Index

Hebu wekeni takwamu ambazo mumezipika na hazipo kwenye papers kama za Wakenya tuone...Tena mnasema Botswana iko sawa kiuchumi na he Tanzania iko kwenye ligi moja na Botswana?
Wewe ni zaidi ya vichaa wanaotembea barabarani[emoji23] [emoji23]
 
Hahaha joto LA whatever pia wewe povu linakutoka na bado dawa itakuingia pore pore.
 
Hahaha povu linakutoka dawa inavyozidi kukuingia...Wataka kusema taasisi zinazotoa such data zinawaonea kijicho na kutupendelea sisi wakenya??? Hahahaha nenda hospitali ukapimwe high blood pressure kisha umalizie na mental hospital.
Karibu vigezo vyote vya kiuchumi vya kimataifa vinaiweka Tanzania juu ya Kenya, isipokua GDP na GDP per capital, je unataka kusema Tanzania inapendelewa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nenda taratibu mzee, haya maneno yana sehemu zake, hapa hakuna mtu katoa povu!

Labda nikurejeshe kwenye mada, ushawahi kujiuliza hizo taasisi zinazofanya ranking zinatoa wapi data?

Wao sio shida yao, shida mnayo nyie hapo kwenyu kwenye kiini
 
Hahaha joto LA whatever pia wewe povu linakutoka na bado dawa itakuingia pore pore.
Wewe ndiye ambaye unayetokwa na povu kuitetea nchi ambayo uchumi wake unasambaratika, wenzako huko nyuma walijaribu sana kuitetea lakini mwishoni wamekubaliana na ukweli na wameamua kuacha na kuanza kuzungumza ukweli juu ya hali ya uchumi wa Kenya, iwapo Rotich amekubali juzi kwamba nchi inafilisika, wewe utaweza kweli kuitetea?
 
Wivu utakumaliza babaa...Botswana has a population of 2million so sioni their cleverness when it comes to sharing their nationals cake as compared to Tanzania with the same mineral resources and a population of more than 50million.

the population has nothing to do with the welfare of the citizens but good plans and management of resources.
have you ever visited Swaziland and Lesotho!!??
you'll understand what I'm meaning.
 
unapoteza muda wako kaka kuongea na zuzu Nyakageni. nakushauri uachane naye.
mtu kabisa anaona article inaeleza Kenya ni miongoni mwa nchi tatu zinazoburura mkia kwenye issues za internal security services. Yeye anasema Kenya iko juu kwa kila kitu.
hebu muulize ameieleea hii article??
Zuzu???? Okay sawa ewe mtoto wa mtume.

I didn't respond to the report, same news is on KTN Facebook page.

Mi napinga majivuno mnayowaonesha Wakenya. Kenya imetuzidi kila idara including miundombinu, huduma za jamii, elimu, afya, nk

Take it or leave it

Zuzu
 
Ninarudia tena, humu hatujafili kama kula kwenu wewe na akina Wolper, Zari, Wema na Hamisa Mobeto, ambako wanashambuliana kwa kuambiana fulani ananuka sehemu za Siri bila ushahidi, ni ilimuradi tu amesema, hizi data nilizokupa ni kutoka World Bank, ambazo hata Kenya, Tanzania wote wanazikubali, wewe haya unayosema umeyatoa wapi, nimekuambia lete ushahidi, kama huna nenda kwenye mazungumzo yanayohusu kunuka k**ma, kule hawahitaji ushahidi, utasema vile kichwa chako kinavyoamini
Umefurahi??? Okay wasalimie nyumbani. This type of argument nilishavuka tangu enzi za jambo forums kabla ya Jamiiforums
 
Zuzu???? Okay sawa ewe mtoto wa mtume.

I didn't respond to the report, same news is on KTN Facebook page.

Mi napinga majivuno mnayowaonesha Wakenya. Kenya imetuzidi kila idara including miundombinu, huduma za jamii, elimu, afya, nk

Take it or leave it

Zuzu

labda twende pole pole. labda wee mgeni.
umeelewa kinachoongelewa kwenye huu mjadala.
makala inaposema Kenya ni miongoni mwa nchi tatu zinazoburura mkia, unaelewa maana yake!!?
 
Bottom line Angola and Tanzania are in the LCD category while Kenya is in the middle.... Malizia bila aibu kaka.
Wakenya mko juu ya Tanzania. This is a bitter truth kwetu watanzania tusiopenda maendeleo ya wenzetu

Siasa safi imewafikisha hapo mlipo. Acha sisi na unafiki wetu wa nyumbani kwa Rais kuweka kiwanja cha ndege
 
Wivu utakumaliza babaa...Botswana has a population of 2million so sioni their cleverness when it comes to sharing their nationals cake as compared to Tanzania with the same mineral resources and a population of more than 50million.
Watu wanajadili bila kujua uhalisia. Safi sana. Na wajue kuwa hata Libya ya Gaddafi ina population kama Dar tu
 
Karibu vigezo vyote vya kiuchumi vya kimataifa vinaiweka Tanzania juu ya Kenya, isipokua GDP na GDP per capital, je unataka kusema Tanzania inapendelewa?
Mkuu uchumi upi unaongelea??? MDGs mbona tuko chini sana!???

Acheni kusifu ujinga. Wakenya wako juu tu. Angalia hata indicators of poverty ndiyo utajua kuwa tuna tatizo hapa Tanzania

Angalia natality na morality rate, illiteracy, nk Kenya wako juu acheni uzalendo wa bila kukubali ukweli

Wao shule za msingi wana computer wakati sisi umeme tu wa mgao na hata madawati bado hayatoshi
 
labda twende pole pole. labda wee mgeni.
umeelewa kinachoongelewa kwenye huu mjadala.
makala inaposema Kenya ni miongoni mwa nchi tatu zinazoburura mkia, unaelewa maana yake!!?
Una maana mimi kichaa au chizi hadi nisielewe???

Haya ya police brutality naamini sisi tuko juu zaidi yao. Kumbuka kuhusu akina Mwangosi walivyouliwa na kuacha watoto yatima wenye uchungu na hasira

Maandamano ya Tanzania wakati wa operation UKUTA si jeshi lilitoa hadi mabomu kama ya vita??

Kule Zanzibar ni mambo mangapi raia wamefanyiwa ambayo hata kuripoti haitakiwi na kuripoti kunasababisha Gazeti, redio au TV kufungiwa???

Kenya Wana uhuru wa kuongea ndiyo maana haya unayaona

Our situation is worse than that of Kenya

Tuache kusifu ujinga
 
Mkuu uchumi upi unaongelea??? MDGs mbona tuko chini sana!???

Acheni kusifu ujinga. Wakenya wako juu tu. Angalia hata indicators of poverty ndiyo utajua kuwa tuna tatizo hapa Tanzania

Angalia natality na morality rate, illiteracy, nk Kenya wako juu acheni uzalendo wa bila kukubali ukweli

Wao shule za msingi wana computer wakati sisi umeme tu wa mgao na hata madawati bado hayatoshi
I am sorry, nilitaka nisikujibu kama nilivyoombwa na watu humu ndani ila ngoja nikujibu tu, sina jinsi, hivi wewe unamatatizo gani?, umeambiwa unapotetea jambo utoe na ushahidi kutoka kwenye reliable sources, sasa kama unazungumza tu bila ushahidi na kila mtu akizungumza anavyofikiria yeye ni sawa kutakuwa na maelewano?, hebu badilika angalau pawepo na mjadala wa maana, acha majibu ya mtaani, haya yote unayoyasema tupe ushahidi na sisi tujifunze kama ni kweli, ila kama huna unasema kutokana na kichwa chako kukosa kujua ukweli, hatuwezi kuendelea kujadiliana na wewe,
 
Hebu nioneshe ushahidi (literature review) toka kwa members wote waliochangia
 
Una maana mimi kichaa au chizi hadi nisielewe???

Haya ya police brutality naamini sisi tuko juu zaidi yao. Kumbuka kuhusu akina Mwangosi walivyouliwa na kuacha watoto yatima wenye uchungu na hasira

Maandamano ya Tanzania wakati wa operation UKUTA si jeshi lilitoa hadi mabomu kama ya vita??

Kule Zanzibar ni mambo mangapi raia wamefanyiwa ambayo hata kuripoti haitakiwi na kuripoti kunasababisha Gazeti, redio au TV kufungiwa???

Kenya Wana uhuru wa kuongea ndiyo maana haya unayaona

Our situation is worse than that of Kenya

Tuache kusifu ujinga

kwa internal main stream tunaweza sema zinaweza ziwe biased.
lkn hii report ni ya independent external body. they are not biased in reporting the research findings.
 
Hebu nioneshe ushahidi (literature review) toka kwa members wote waliochangia
Mimi nimekupa data za ukuaji uchumi kati ya Kenya na Tanzania, na nikakuambia source ni World Bank, wewe lete sources za haya unayosema
 
kwa internal main stream tunaweza sema zinaweza ziwe biased.
lkn hii report ni ya independent external body. they are not not biased i reporting the findings.
Ungejua kwanza report ina cover muda gani........ Unaweza kunijibu???

Kiuhalisia jeshi letu la polisi liko brutal kuliko la Kenya
 
Una maana mimi kichaa au chizi hadi nisielewe???

Haya ya police brutality naamini sisi tuko juu zaidi yao. Kumbuka kuhusu akina Mwangosi walivyouliwa na kuacha watoto yatima wenye uchungu na hasira

Maandamano ya Tanzania wakati wa operation UKUTA si jeshi lilitoa hadi mabomu kama ya vita??

Kule Zanzibar ni mambo mangapi raia wamefanyiwa ambayo hata kuripoti haitakiwi na kuripoti kunasababisha Gazeti, redio au TV kufungiwa???

Kenya Wana uhuru wa kuongea ndiyo maana haya unayaona

Our situation is worse than that of Kenya

Tuache kusifu ujinga

Umenena mwanangu,hawa kakazo hawapendi ukweli, wanashabikia tu kuwa kushabikia kupo lakini sio kwa hoja ,laiti wangepata waalimu kama wewe waelimishwe.....bravo.
 
Back
Top Bottom