joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe ni zaidi ya vichaa wanaotembea barabarani[emoji23] [emoji23]Hebu wekeni takwamu ambazo mumezipika na hazipo kwenye papers kama za Wakenya tuone...Tena mnasema Botswana iko sawa kiuchumi na he Tanzania iko kwenye ligi moja na Botswana?