tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Hongereni sana Arusha Mambo FM kwa kutuletea ibada ya mazishi ya Prof George Saitoti live. RIP Prof.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiliza ibada ya mazishi, kwa kweli kwaya imepwaya sana.
Hivi kwa Tanzania mbali na Munishi yupo mtu anatumia kifaa hicho katika music????
NNape NNayue
Aisee hii ni aibu kwa Tanzania, Nchimbi anasoma rambirambi toka kwa JK, anatetemeka kinoma hafu anasoma Kingereza kibovu, anashindwa kuspell ni fedheha kwa Taifa letu sijui hili lijamaa PhD yake lilisomea wapi? Yaani kusoma tu jamaa anatetemeka na kuchemka hivyo, je angeambiwa aongee kavu kavu siangevunja balaa! Ni vema washauri wa Jk wakawa makini figure zinazotumwa kumuakilisha Rais nje ya nchi, kitendo cha kupeleka maboga maboga kama haya yenye elimu feck feck kinaweza kutafsiriwa na wenzetu kama ndo watanzania wote tuko hivyo hivyo
Ukweli Nchimbi ameboronga vibaya sana. Akili za mbayumbayu lazima uchanganye na zako. Nchimbi amesoma barua kama ilivyoandikwa na JK kuanzia ADDRESS! Wako watu wengi sana wametoa rambirambi kwa kiswahili,hata ibada ilikuwa kwa lugha ya Kiswahili, sasa kwa nini Nchimbi na Ikulu wameandika salama za rambirambi kwa kiingereza?
Delta4,That is an idiotic remark - what is your meaning, intelligently put, that it?
The main difficulty in Tanzania is her peoples' non-involvement in governance, due to a variety of reasons, some historical but also due to a corrupt and undeveloped political system that is more about good manners than good substance. Your Political class intentionally locks the population in the heady history of Ujamaa like some sort of Tonic. Critical discourse impossible, plurality of political opinions immature and primitive. Like Kenya was in the Eighties under an all-powerful unitary political system, so today is Tanzania.
This is not helped by the illiteracy levels being higher than anywhere in an expanded EAC except in Burundi Southern Sudan and Somalia.
And Tanzania look across the border at the vibrant and sometimes chaotic social engagement in Kenya, and retreat into their past as if this offers them comfort - delusional, superficial comfort!!