Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
Sijampropose na sijamtoa km yupo yupo...my blame ipo ktk siasa chafu za Kenya, na vichwa vibovu vya wakenya..Vichwa vilivyonenepeshwa kwa sifa za kudandia, pamoja na rasilimali waziibazo TZ. Wahuni wa Kabila lake na image anayotaka jenga km iliyomuingiza Kikwete ina msumbua yeye na wenzie.Ukitazama TV za Kenya utaona Ujinga wao unaoruka mipaka ktk kutafuta power.Makundi ya kikabila yana majeshi , km ya CCM na mara zote wamejikuta Hawawezi kabilian ana upinzani ktk civilian way..elimination ndio the only tool inakuja ktk vichwa vyao
wewe utakuwa hauko sawa up stairs.why do you hate RAO, Kiasi cha kutokwa na vijimaneno vya kihuni namna hii.moi kaua wangapi pamoja na biwott wake,hao si ndio walimuua ouko,wakamkosa kosa saitoto,hv ww unaijua game plan ya wakikuyu enzi hizo?they knew that if not saitoti then ouko mmoja wao angechukua nchi.na wao walitaka utawala urudi kwa house of munbi.
Hv ile report ya scotland yard(iliyoongozwa na troon) uliwai isikia au kuiona?it reams ulikuwa cdo katoto.