Yaani huyu jamaa mnavyompaisha!
Personally ata Channel yake kwa TV Listing apa home nilishaifuta.
Maana nashindwa mweka kundi lipi je ndo hawa manabii wa uongo au ni genuine!
Mbaya zaidi anatokea Nigeria apo mashaka ndo yanazidi.
Ila bado niko kwenye utafiti maana ata Tz namkubali Mwakasege Chriss tuu hao wengine bado naendelea kuwatathmini
SAsa unafanyaje utafiti wakati umem-delete kwemnye list ya TV zako?
