Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Hivi nani kakupa hiyo title ya GOLD member? kwa nini mnakuwa wagumu kuelewa jamani!
Sijasoma kama wewe ndio maana kuelewa kwangu ni kwa kufikiria sana...Nisichoelewa nini? Busara inatuhimiza kumuachia Mola majaariwa ya yeyote aliyotangulia mbele ya haki. Napata shida mtu anaposema amechomeka duniani na atachomwa hell. Kuna mtu anayo macho yakuona mpaka hell? Just thinking outside the box!!!