Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Haya, sawa!...kwani mimi msemaji wa huyo Joshua? Kwani wakati mwingine ni vizuri kunwendea mhusika na yeye akaja akatumwagia majibu ya T. B Joushua hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, sawa!...kwani mimi msemaji wa huyo Joshua? Kwani wakati mwingine ni vizuri kunwendea mhusika na yeye akaja akatumwagia majibu ya T. B Joushua hapa
That's hilarious. Somehow somewhere you have to include Askari Kanzu to make your ratiocination complete!... such as Askari Kanzu that lack balance and rationality. That is all really...
Mmh, Al Shabaab jamani, Kenya wanadeal nao haswa, ndio maana kila siku wanazidi kuwachukia
Bora niitwe kafir kuliko kumwabudu mungu anayependa ugaidi, mauaji ya kinyama, visasi,kukata viungo vya watu na ujinga
View attachment 56113
Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimedaiwa kusuka mpango mzima wa ajali ya helicopter iliyotokea pori la Kibiku na kugharimu maisha ya Waziri wa Usalama wa Ndani George Saitoti, Naibu wake Orwa Ojode, Marubani wawili na walinzi wake wawili.
Aidha katika mtandao wa twitter kikundi hicho kimeweka tweets zinazosomeka;
"Kenyans should know that neither would their country ever prosper nor their security improve under the heels of such men. Better off dead! The remaining invaders should be expectant that Allah will inflict His punishment by Himself upon the Kuffar or by the hands of Mujahideen
He has been aggressive in his war against Islam but died the wretched death of a Kafir and now lies rotting in his coffin on his way to hell.
For the hundreds of Muslims killed & displaced by Kenya's brutal invasion, Saitoti's death is but a droplet of justice in a sea of oppression
Saitoti played a prominent role in overseeing the abduction, torture & imprisonment of hundreds of innocent Muslims in his war against Islam.
From strafing of refugee camps in Somalia to the abdominal treatment of Muslims in Kenya, Saitoti and his likes perpetrated heinous crimes
HSM welcomes the death of the evil minister upon whose authorization thousands of Muslims suffered both in Somalia and Kenya"
Source:
Kibiku Forest Plane Crash was Al-Shabaab Attack | Uganda Picks
mamia ya watu wasiona hatia wanaouawa na alshabab, alqaeda, islamic jihad na magaidi wengi sio roho hizo roho ni za hao magaida ambao prof.Saitoti alidhamiria kuwasweep waache kuuawa watu wasio na hatia! nyie waislamu sijui mna pepo gani??Utanielewa tu mkuu wangu,
Kimsingi hawa viongozi wanapokuwa madarakani hufikili wao ndio kila kitu, hujisahau kabisa kuwa maisha ya ulimwengu ni kama safari tu, Binafsi nimependezwa na jinsi alivyochomeka kwa kuwa ndivyo yanayotokea kule somalia, wanawake, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa kila kukicha kwa kisingizio cha alshabab kumbe wana sababu zao za kimaslah.
Islam at its finest...100% chuki/roho mbaya..."Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti
Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!
alshabaab ni makafiri
Moja ya amri 10 za Mungu ni USIUE. Kwa mantiki hii anaekwenda kinyume na amri hii anafuata amri za nani kama sioSo, what you mean is, "Allah Killed Saitot and his team". Do I get you right?
Kwa iyo kumbe kuna uhusiano kati ya alshaabab na uislam??nimeamini kuwa U AMSHO ni tawi la alshaabab kwa mlolongo wa visa na matukio.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
That's hilarious. Somehow somewhere you have to include Askari Kanzu to make your ratiocination complete!
Moja ya amri 10 za Mungu ni USIUE. Kwa mantiki hii anaekwenda kinyume na amri hii anafuata amri za nani kama sio
shetani? Naomba mtazamo wenu mnaounga mkono falsafa ya "kupigania uislamu kwa kuua binadamu wenzenu ( i.e. JIHADI)".
Okay, kidogo nikuelewe vibaya, ila kuhusu swala la Kenya kuwa somalia nadhani wako kule sababu ya maslahi ya kiusalama ya wakenya ambayo yamewekwa mashakani na alshababu. au kunamaslahi tofauti?
Hujaongea kitu hapoUtanielewa tu mkuu wangu,
Kimsingi hawa viongozi wanapokuwa madarakani hufikili wao ndio kila kitu, hujisahau kabisa kuwa maisha ya ulimwengu ni kama safari tu, Binafsi nimependezwa na jinsi alivyochomeka kwa kuwa ndivyo yanayotokea kule somalia, wanawake, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa kila kukicha kwa kisingizio cha alshabab kumbe wana sababu zao za kimaslah.
Hujaongea kitu hapo