Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Nini na hawa wa-tanzania, bana?? Eeeiish!!

For a major Church-fundraising in Ndiwa Constituency of which Hon Joshua Orwa Ojode was Member of Parliement for two terms. Thousands of his constituents from all over Kenya-Country were waiting at the Church for these two gentlemen, and only got news about the air-crash hours after.

That such a large sum of money ( by some reports about Tsh10Million) was untouched should disabuse some of those nasty insulting notions purveyed by wtz about Kenya - our banks are legally obliged to exchange defaced Notes for new ones, and no questions asked.

Delta4, with due respect, ungeweza kumuelewesha aliyeuliza kuhusu that large sum of money bila kuegemea ukuta wa TZ/Kenya. Africa nzima including Kenya na Tanzania tuna tatizo la hela nyingi kuwa 'outside the official channel' in the sense that Taxation is out of the equation. Iwe church or whatever fundraising lazima tukubali kuna mambo hatujayafanyia kazi when it comes to handling money.

About speculation za vifo, I guantee you sio tu wa-tz hapa JF wanao-speculate, hii iko Tanzania kama ambavyo iko Kenya. Plus it happens everywhere especially when it is an accident involvig a publc figure. Iko duniani kote, Princess Diana bado watu wana-speculate, JFK etc. Na hata uchunguzi wa polisi ukikamilika bado certain individuals wanaweza kuendelea na speculation. Ndiyo ukweli wa mwanadamu.
 
Chezea al shabab wewe ehee!!!!!

Hawa jamaa wapiganaji wa kisomali walishasema kuwa watawaliza waKenya siku za hivi karibuni; if their threat is to be believed worse is to come soon!!!
 
"Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti

Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!
 
Ni ndoto lako mwenyewe, mtanzania wee! You have quite some catch-up to do. And I will certainly not be marking time during this exercise.

Hebu tueleze kidogo kuhusu matumaina yenu wtz ya ku-achieve medium economy status, joo? By when??
wewe kweli hamnazo. yaani kwenye hii mada unataka tuongelee kuhusu uchumi wa Tanzania?
 
"Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti

Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!

So, what you mean is, "Allah Killed Saitot and his team". Do I get you right?
 
Utanielewa tu mkuu wangu,

Kimsingi hawa viongozi wanapokuwa madarakani hufikili wao ndio kila kitu, hujisahau kabisa kuwa maisha ya ulimwengu ni kama safari tu, Binafsi nimependezwa na jinsi alivyochomeka kwa kuwa ndivyo yanayotokea kule somalia, wanawake, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa kila kukicha kwa kisingizio cha alshabab kumbe wana sababu zao za kimaslah.
 
"sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- prof. Saitoti

kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! Na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!
Tume ya katiba sorry to say this! But your comment shows how silly you are! I know u can be better than this, try harder!
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wapiganaji wa kisomali walishasema kuwa watawaliza waKenya siku za hivi karibuni; if their threat is to be believed worse is to come soon!!!

AS ni kundi linalodidimia.....walianza vita ambavyo hawakuweza kuhimidi hadi mwisho na kuaanza kulilia diaspora na vyombo vya habari kama aljazera wawape coverage ili wabaki na usemi.
 
Delta4, with due respect, ungeweza kumuelewesha aliyeuliza kuhusu that large sum of money bila kuegemea ukuta wa TZ/Kenya. Africa nzima including Kenya na Tanzania tuna tatizo la hela nyingi kuwa 'outside the official channel' in the sense that Taxation is out of the equation. Iwe church or whatever fundraising lazima tukubali kuna mambo hatujayafanyia kazi when it comes to handling money.

About speculation za vifo, I guantee you sio tu wa-tz hapa JF wanao-speculate, hii iko Tanzania kama ambavyo iko Kenya. Plus it happens everywhere especially when it is an accident involvig a publc figure. Iko duniani kote, Princess Diana bado watu wana-speculate, JFK etc. Na hata uchunguzi wa polisi ukikamilika bado certain individuals wanaweza kuendelea na speculation. Ndiyo ukweli wa mwanadamu.

FJM bwana..FJM, kuwa realistic kiasi tu....theres nothing controversial in this incident. Bwana...ah...hii ilikuwa nakala chafu, hehe. Seriously speaking what has befallen Kenya is sad and outside JF non is speculating assasinations, the public mood is so calm and people in mourning. Kiasi respect during this period and let us burry our own. Not much to ask and tell your countrymen to hold there horses in this matter. You see Its not a purely tanzanian forum but by next week it will be if the current trend ensues.lol. Patience jirani, siku saba tu:-D
 
Utanielewa tu mkuu wangu,

Kimsingi hawa viongozi wanapokuwa madarakani hufikili wao ndio kila kitu, hujisahau kabisa kuwa maisha ya ulimwengu ni kama safari tu, Binafsi nimependezwa na jinsi alivyochomeka kwa kuwa ndivyo yanayotokea kule somalia, wanawake, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa kila kukicha kwa kisingizio cha alshabab kumbe wana sababu zao za kimaslah.

Hivi Al Shabaab ni chama cha siasa, ni jeshi au?

Lengo lao ni lipi?

Hivi mkakati wao wa kufikia lengo lao ni upi?

Mkakati huo una uhalali upi, au unapata uhalali wake kutoka wapi?

Maeneo ambayo wana uhalali wa kufanya harakati zao ni maeneo gani? Nchi yoyote? Kenya inaingiaje?
 
Tume ya katiba sorry to say this! But your comment shows how silly you are! I know u can be better than this, try harder!

Mkuu wangu cacico, tatizo lenu kubwa mnategemea bbc au idhaa ya ujerumani kupata taarifa ya yanayoendelea Somalia, wengi wenu hamuyajui yanayotokea, hawa wanajeshi wanafanya vitendo vya udhalilishaji wa hali ya juu kwa kisingizio cha kutafuta hao alshabab.

Ukweli ni kwamba somalia ni nchi imekaa vyema sana kivita pia inasemekana wana kiwango kikubwa sana cha mafuta, kinachoendelea kule hakisemwi kabisa kutokana na vyanzo vingi vya habari tunavyovi=tegemea kuwa ndio hao wenye maslah. PressTV - Kenyan airstrikes kill 11 civilians in Somalia

http://www.aljazeera.com/news/africa/2011/10/201110311954819445.html

Kila la kheri mkuu wangu.
 
That is why I have a BIG reservation with Muslim GOD aka ALLAH!

Hivi Hata angekuwa JK God forbid angewaacha Al Shabab wawa terrorise Watanzania? I'm praying Kenyans will come out strong and smoke Al Shabab wherever they are. Then Al Shabab and they cronies will learn that Kafir they are powerful than "Allah"
 
Utanielewa tu mkuu wangu,

Kimsingi hawa viongozi wanapokuwa madarakani hufikili wao ndio kila kitu, hujisahau kabisa kuwa maisha ya ulimwengu ni kama safari tu, Binafsi nimependezwa na jinsi alivyochomeka kwa kuwa ndivyo yanayotokea kule somalia, wanawake, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa kila kukicha kwa kisingizio cha alshabab kumbe wana sababu zao za kimaslah.

Okay, kidogo nikuelewe vibaya, ila kuhusu swala la Kenya kuwa somalia nadhani wako kule sababu ya maslahi ya kiusalama ya wakenya ambayo yamewekwa mashakani na alshababu. au kunamaslahi tofauti?
 
Delta4, with due respect, ungeweza kumuelewesha aliyeuliza kuhusu that large sum of money bila kuegemea ukuta wa TZ/Kenya. Africa nzima including Kenya na Tanzania tuna tatizo la hela nyingi kuwa 'outside the official channel' in the sense that Taxation is out of the equation. Iwe church or whatever fundraising lazima tukubali kuna mambo hatujayafanyia kazi when it comes to handling money.

About speculation za vifo, I guantee you sio tu wa-tz hapa JF wanao-speculate, hii iko Tanzania kama ambavyo iko Kenya. Plus it happens everywhere especially when it is an accident involvig a publc figure. Iko duniani kote, Princess Diana bado watu wana-speculate, JFK etc. Na hata uchunguzi wa polisi ukikamilika bado certain individuals wanaweza kuendelea na speculation. Ndiyo ukweli wa mwanadamu.

Aliyekuwa mwanzilishi wa taifa la Kenya, Mzee Jomo Kenyatta alikuja na mwito wa "HARAMBEE" ambao haukuwa na maana nyingine ila watu kuja pamoja kuvuta pamoja rasilimali (sio fulusi pekee) na nguvu kujenga taifa. Siku hizi ndio mwito HARAMBEE/mchango wa fedha umeegemea sana upande wa fulusi kuliko msaada wa umoja. Viongozi walikua njiani kuenda kuchangisha pesa katika kanisa moja hapo Ndhiwa. Ni kitu ambacho kimefanywa nchini kwa muda mrefu na viongozi wa serikalini katika ngazi za juu, makanisa, na makundi binafsi.
Itakuwa vigumu kufanya upambanuzi kuhusu channel za hundi kama hizo zilizounguzwa. Siku hizi ni kama kawaida watu kupatikana na hundi.
 
Utanielewa tu mkuu wangu,

Kimsingi hawa viongozi wanapokuwa madarakani hufikili wao ndio kila kitu, hujisahau kabisa kuwa maisha ya ulimwengu ni kama safari tu, Binafsi nimependezwa na jinsi alivyochomeka kwa kuwa ndivyo yanayotokea kule somalia, wanawake, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa kila kukicha kwa kisingizio cha alshabab kumbe wana sababu zao za kimaslah.

Sijakupata kabisa nimesoma between the line ila naona natoka kapa
 
"Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti

Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!

Kwa iyo kumbe kuna uhusiano kati ya alshaabab na uislam??nimeamini kuwa U AMSHO ni tawi la alshaabab kwa mlolongo wa visa na matukio.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom