Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya kupigana vita na Alshabab ni first class mistake ambayo Kenya itajutia milele.
Somalia ni nchi iliyopuuzwa kwa miaka mingi na UN na miaka ya nyuma kidogo iliongozwa na hawa ALSHABAB na nchi ilitulia lakini US na Ethopia waliivamia kijeshi kisa hawataki serikali ya kiislam na ndo mwanzo wa haya yote..mbona kuna double standard mbona leo US,UK nk wanashirikiana na waasi LIBYA now SYRIA tena na ALQAEEDA ndani kwanini Somalia hasa hawa ALSHABAB wasiachiwe nchi yao then international community ika wa sapport the same as LIBYA then muone km kuna uasi au ugaidi wowote utakaoendelea....kimsingi lazima tutambue hulka za watu wengine kua hawakubali kuonewa wala kudhulumiwa kama walivyo wakurya tu...Dont b biased na vyombo vya magharibi kwani hata juzi mauaji ya HOMS syria BBC walionesha picha za 2003 za IRAK eti serikali ya syria ndo wamewaua mpaka aliepiga picha hizo mui TALIA kuingilia kati kua sio kweli na kuishataki BBC kwa kupotosha...so let them fight for their country kwani hata sisi yakitufika sidhani km tutakaa kimya km tunavyoibiwa madini yetu na tupo kimya....
Mimi huwaga namkubali huyu jamaa na mautabiri yake.
Death of Kenyan Minister George Saitoti Prophesied by Prophet TB Joshua
On June 4, 2012 during a Monday Live Service, Prophet T.B. Joshua prophesied regarding the leader of a country. He said he saw an accident and asked whether it was on the air or on the ground. These were his words:
"Ninety percent of what we are doing here is about other nations all over the world. It radiates to the world. Like today around 3:00 am and what happened? I saw the leader of a country whether he is the vice president of a country or the present…I saw all of them having an accident. Is it on the air or on the ground?
Sometimes I want to know what is happening, how does it happen, what is this.. I keep asking."
Huyu jamaa tapeli au?
taratibu. acha kukasirika kama paka shume!Tis easy to find mirth in your forum fool's rantings. And not ''somewhere'' but right here on JF!!
i like this!
kama kila anachotabiri kinatokea utapeli wake uko wapi? achen wivu
"Sitalala hadi nihakikishe nimewasambaratisha alshabab wote"- Prof. Saitoti
Kumbe hajui mungu muumba amepanga nini, kachomeka na moto wa ndege kuliko ndafu, hata fuvu halijapatikana! na bado huu ni just moto wa duniani bado moto wa muumba wa mbingu!
Someone had to do it. Otherwise hatuwezi kuacha lawlessness iendelee kwenye ujirani wetu. Kuna wanaomlaumu Mwalimu Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa kusini mwa Afrika. Someone had to do it and kudos to Kenya.
Na Alshaab nao wanachomeka mara ngapi? Have got our sense ok? Mbona wengine walikufa wakitoka Unguja kwenda Pemba. Nao walipigana na Alshaab?
Kama anatabiri kwa nini asingesema a kenyan Minister will die in a helicopter?
The folly of these predictions -from Nostradamus to TB Joshua- is that they are vague enough to be crafted into any fitting situation retrospectively.
How many African leaders are involved in accidents whether in the air or ground?
Halafu yeye kasema "Whether Vice President or President" Saitoti was neither.
Hata mie naweza kusema "kiongozi mashuhuri wa Tanzania atafariki" kwa sababu najua wote tunakufa, na katika kufa huku viongozi mashuhuri hawakosi. Tumeshaona katika wiki mbili zilizopita wameondoka Musobi na Makani, na probably kuna wengine wanakuja katika siku 60 zijazo, sasa ningesema hivyo na mie ningekuwa "prophet"?
Africa "accidents" ni jambo la kawaida maishani, na nyingi hata hazistahili kuitwa "accidents".
Sasa na mie nikitabiri kesho jua litachomoza na halita explode katika supernova, nitakuwa propher tayari?