Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Hongereni sana Arusha Mambo FM kwa kutuletea ibada ya mazishi ya Prof George Saitoti live. RIP Prof.
 
mbona nimesikia nyimbo nzuri tu au ulitaka nyimbo gani za kuomboleza?
wacheze kanisani kama mt kizito au st james tumain choir au migori au kenyatta university choir?

KTN :: KTN Live

Nasikiliza ibada ya mazishi, kwa kweli kwaya imepwaya sana.
 
I m very sorry to here this sad newd but think of it a better place for him to be right now no worries no fears! R.I.P [h=2]Prof. George Saitoti[/h]
 
Hivi kwa Tanzania mbali na Munishi yupo mtu anatumia kifaa hicho katika music????
 
Tzii wanafiki tu hawa.! Ingekuwa wanapata chochote kwenye bakuli lao kutoka Kenya, Ikulu ingehamia Kenya!!!
 
It's very strange kama hakuna mwakilishi una hakika mkuu wetu wa kaya hajaja rasmi kuwafariji, pengine ni kupitiwa but watanzania kamwe hatuwezi kuwa na roho mbaya ya kutofariji ndugu jamaa na marafiki, najua kuna mtu lazima.
 
Rest in Peace the good mathematics professor George Saitoti; we shall miss your gentleman demenour particularly in the rough and tumble of Kenyan politics.
 
Aisee hii ni aibu kwa Tanzania, Nchimbi anasoma rambirambi toka kwa JK, anatetemeka kinoma hafu anasoma Kingereza kibovu, anashindwa kuspell ni fedheha kwa Taifa letu sijui hili lijamaa PhD yake lilisomea wapi? Yaani kusoma tu jamaa anatetemeka na kuchemka hivyo, je angeambiwa aongee kavu kavu siangevunja balaa! Ni vema washauri wa Jk wakawa makini figure zinazotumwa kumuakilisha Rais nje ya nchi, kitendo cha kupeleka maboga maboga kama haya yenye elimu feck feck kinaweza kutafsiriwa na wenzetu kama ndo watanzania wote tuko hivyo hivyo
 
Reactions: FJM


Ukweli Nchimbi ameboronga vibaya sana. Akili za mbayumbayu lazima uchanganye na zako. Nchimbi amesoma barua kama ilivyoandikwa na JK kuanzia ADDRESS! Wako watu wengi sana wametoa rambirambi kwa kiswahili,hata ibada ilikuwa kwa lugha ya Kiswahili, sasa kwa nini Nchimbi na Ikulu wameandika salama za rambirambi kwa kiingereza?
 

Hehehe! Bana wee!!

Lakini lamsingi ni ya kwamba sisi wa-kenya tumezipokea hizo salama kwa zile intentions these were given. Many thanks to all wtz, and God's blessings to you all.
 
Reactions: FJM
All the speakers are paying a glowing tribute to Saitoti /a gentleman from sole to crown. Uhuru Kenyatta ready to sacrifce political ambition for the sake of the nation . "there comes a time when nation is more important than the individual" qoute prof Saitoti.
 
Delta4,

Please have some decorum when addressing folks...moreso those you dont know. The above highlighted
remark is uncalled for and I take exception to it.

To save you some little bit of reading and researching effort Nyaralego, is a Kenyan lady of respectable
standing on this forum. Hii mambo ya ku-unleash condescending retorts sio freshi and I believe it is in
order kumuomba huyu dada'etu msamaha and withdraw.

Have a civil day.

Ab-Titchaz.

PS. As regards Saitoti and Co's death, all speculation is valid more-so when people like Moi saying he was supporting Saitoti in his bid for the Presidency. If Uhuru is to dance at The Hague, then I believe Saitoti becomes a big force to reckon with....In terms of experience and deep pockets. The other guy being Raila. I cant put anything past the presently constituted Police force and Kenyan Intelligentsia at large.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…