That is not a question i asked to a fella who claimed to have driven a car in a BEIJING Ring Road.ndugu yako ndio kayaleta yote haya.Lol, kweli wewe ni empty set, that is not Chinese slang, on behalf of Beijingers, stop embarrasing us. That is standard lingua franca in China, ndio lugha aliyoongea Li keching alipokuja kuwahonga hivi majuzi.mbona hamkumuambia aache kuongea Chinese Slang?
Nisingekuwa na curiosity yoyote ya
Mekatilili kujua jina la hiyo barabara, mie najua nimepata jirani on my BJ trips kumbe nadeal na "mkalimani wa Mandela".
FYI i don't worship China, i don't live in china ATM, though for what i do, i can't avoid going there for extended periods of time each year, who doesn't go to china these days, especially in my line of work?shit has to be made either way.
Ukileta uongo about Japan Kesho kutwa nitakuumbua humu kama vile ni mzaliwa wa tokyo, hadi utashanga huu gaijin nimemkosea nini.
nasubiri ulete uongo kuhusu UK, maana this is my home, nikuumbue pia,usiumie roho nikifanya hivyo, kwani unayataka mwenyewe.
And guess what, despite living here, not a season passes by, that am not there,in the best country in the world, home of Serengeti, Kilimanjaro and beautiful beaches of Mafia an Zanzibar.
Speaking of that, umenikumbusha, uongo wa kuwa Kilimanjaro iko kenya umeishia wapi siku hizi?nyie watu mmezoea kudanganya kuanzaiwewe mkibera hadi statehouse, bila aibu. guess what, zama za watanzania kukaa kimya zimekwisha.as tulivyowaumbua kuhusu mlima Kilimanjaro , ndio ninavyowaumbua humu.