mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 933
Transparency amongst senators showing clearly their position.
Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani.
Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura.
Nadhani ni HAKIKA TANZANIA INAHITAJI katiba MPYA ili kuondoa UCHAWA na kuweka COMPITENCE , INTEGRITY and Good VETTING kuwapa watu nafasi na sio CONNECTIONS na UDUGU.
All the best KENYA and DP Gachagua.