Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Tuwaachie Kenya mambo yao. Kwa akili zetu fupi za kitanzania tunaona Gachagua anaonewa, lakini ukweli ni jamaa moja la hovyo. Yaani kupata u Deputy tu likaota mapembe likaanza kugawa watu likiwa na ndoto za 2027 ligombee urais kwa kutegemea kura za mlima Kenya! Wacha liende!Huyo gachagua anatolewa kwa sababu Ruto hamtaki, sio kwa sababu yeyote ile unayodhani,
Kama mafisadi wapo wengi sanaaaaa ila hawatolewi
So elewa hapo kenya wanalamba viatu vya Ruto