The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ndugai yoga wake umemuondoa.
Alijiondoa mwenyewe kwa kujiudhuru.
Angekomaa asubiri mchakato wa kumuondoa kwa sheria na kanuni zilizopo.
Mkuu, siyo uoga. Alijua na alishinikizwa. Ndiyo maana hata ile barua ya kujiuzulu ilitumwa kwa Katibu wa Chama.
Angejifanya kudinda wangemfukuza chama. Ndiyo maana Katiba mpya ni muhimu kuondoa Ubabe wa design hiyo.