Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

Huyo gachagua anatolewa kwa sababu Ruto hamtaki, sio kwa sababu yeyote ile unayodhani,
Kama mafisadi wapo wengi sanaaaaa ila hawatolewi

So elewa hapo kenya wanalamba viatu vya Ruto
Tuwaachie Kenya mambo yao. Kwa akili zetu fupi za kitanzania tunaona Gachagua anaonewa, lakini ukweli ni jamaa moja la hovyo. Yaani kupata u Deputy tu likaota mapembe likaanza kugawa watu likiwa na ndoto za 2027 ligombee urais kwa kutegemea kura za mlima Kenya! Wacha liende!
 
Sawa. Ila kuna transparency kwenye mchakato wote.

Bongo, angeondolewa kwa design ya Ndugai.
Ndugai uoga wake umemuondoa.
Alijiondoa mwenyewe kwa kujiudhuru.
Angekomaa asubiri mchakato wa kumuondoa kwa sheria na kanuni zilizopo.
 
Kenya inakimbia kwa kasi sana. Kwa uchumi na ustaarabu pia.
Tanzania ina bunge la maana sana na limetulia chini ya doctor “Tulia”. Huko wanakwaruzana kuitwa malaya nk.
Mama Tulia oyeeee, oyeeeeeeeeeeeee
 


Watanzania wanapenda magenge kuliko nchi. Uzalendo ni kuwa chawa🤦🏾‍♂️
 
Hatuna cha kuiga Kenya kwa huu upuuzi. Watu wametawaliwa na UKABILA tu.

Mbona tuhuma zenyewe hazina tija?
 
When an opinion influenced with the politics partisan doesn't have the rationality required.

Kenya if far away better corrupted country comparing with TZ
 
DP President Kenya ameondolewa na system ya serikali sio utashi wa bunge!!
Hata hapa Tz system ikikukataa unaondoka mfano Lowasa.
Kwa hiyo Gachagua kaondoka sio kwa utashi wa bunge wala wananchi ila serikali yenyewe.
 
Huku CCM inapambana kupata wajinga wengi
 
Africa needs Strong institutions not Strong Man !
Alisemaga Obama 😳 !
Je alikuwa sahihi ??!
 
Usipoteze mda wako,Tanzania haiwezi iga upuuzi wa siasa za Kenya elewa hilo.

Mwisho huyo Rigathi alikuwa anajiamini vipi Hadi akazingua kujiuzulu? Manake Hadi hapo ndio mwisho wa siasa zake Hadi kuzikwa na anakosa stahiki zote.
 
Kenya huwezi kukuta Mkwe ni Rais huku mwingine ni Waziri
Aliyo yafanya Naibu wa Raisi Gachagua ndio aliyo yafanya Mzee Job Ndugai.

Alitoka kimkakati, hata ingekuwa kupigiwa kura kubunge asinge toboa, jambo dogo sana hilo Kenya limewaangaisha siku kadhaa, waje wajifunze kwa Ccm. Ilikuwa suala la siku mbili tatu tu
 
CCM ni shetani kabisa
 
Kipi cha kujifunza hapo kaka...president kuchoka na deputy na kuhonga masanate wamtoe wakati wote ndo wanahangaisha wakenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…