Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mjinga tu ndiye atafikiria kama wewe. Lissu ni mamilioni ya watanzania ambao hawana haki. Angalia nyuma ya Lissu yupo nani kabla ya kuongeaNimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Mawazo menyewe ni ya kwako wala siyo yaoNimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Kiiza pandikizi la M7 na maigizo yao.Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Kwa hiyo unfurahia mateso?Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Na ana Damu yaoMaisha ya Lissu yaliokolewa Kenya
Bado hujasemaNimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Hii habari hapa inaelezea juu ya kwenda Uganda!Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Wakenya wajinga tu hawana impact yeyote EAC ,Tanzania ni kiboko yaoNimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Kumbuka kuwa Uganda ni nchi ya Kidikteta na Tanzania ni nchi ya Ujamaa na Kujitegemea yenye kufuata Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa.Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?