Kenyan, why Tanzania, lissu, and not kiiza besgye of uganda?

Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Kenya walienda Uganda.

Ingawa Uganda demokrasia yao wanatuzidi.

Museven huwezi kukuta anaiba uchaguzi wa kitongoji, mtaa, diwani au Mbunge.

Hata bunge la Uganda lina wabunge wengi tu wa Bobi Wine, wa vyama vya upinzani.

Tanzania, CCM wanaiba mpaka uchaguzi wa kitongoji.
 
Tukupe records tu kuwa Kiiza Besigye last time Amekamatiwa akiwa kenya Kwenye shughuli ya Martha Karua, Running Mate wa RAO Uchaguzi wa mwaka 2022 there after akawa transported mpaka Uganda kwenye Court marshall za Kule, Tokea hapo Martha Karua amekuwa Aki Voice up sana Kuhusu issue ya Za Kiiza Besidye ivo acha upotoshaji

Lakini pia wakenya ni watu wanaotamani Kila Kitu cha Tanzania kuanzia Ardhi mpaka Uhuru wetu wako More safe sana wawapo hapo Kuliko kwao kule ambapo trabalism iko Juu sana,

So the best options hapa ni Security agencies zetu ziwe very aware na hawa wakenya kwasababu hawaaminiki kiivo
Mkuu kwahyo una maanisha wakenya ni more dangerouz neighbour sio?.
Kama ni ndiyo sisi ni dangerous zaid kwa akina nani tunaopakana nao au siso ni innocent kwa jirani zetu wote?
 
Uganda ni nchi ya Kidikteta hilo kila mtu analijua je Tanzania imegeuka kuwa nchi ya Kidikteta tangu lini?
Halaf inaonekana Mu7 yuko emotionaly stable maana wale akina Eric Omobdi na wale wachekeshaji wa kiganda huwa wanamuigiza katika scenes mbaya lakin sijawah sikia wamekamatwa.
Au niwe sifuatulii vizuri labda.
 
Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?

Kwanini umeolewa wewe na mumeo na si Aisha au Khadija?
 
wanaazaje kuleta chockochoko Uganda? yule jamaa wanamjua vizuri
 
Kiiza pandikizi la M7 na maigizo yao.
Miaka nenda rudu Kiiza ni political simulation wa M7. Kuthrsaten wapinzani huku yeye analipwa.

Wanadanganya nyie msio na taarifa😀
1747676239183.jpeg

Itakuwa anapokea mpunga mrefu mno kukubali kufikia hali hii mixer mikong'oto toka kwa askari.
 
Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Martha Karua alienda Uganda kwenye kesi ya Besigye, aliomba kuwa mmoja wa MaWakili wa Besigye serikali ya Uganda ikamgomea.

Vv
 
Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Mama kanuka na amechafuka, halafu anafutia UKUTANI yaaani.! Ni hivi Kiza basigeye alihulikana zamani, hakujeruhiwa kama LISSU, LISSU ANA NYOTA KAALI SANA, NI SIMBA ALIYEJERUHIWA, ANATEMBEA NA MKUKI, ANAVUJA DAMU, ANAKOPITA DAMU YAKE INAMWAGIKA, HARUFU YAKE NI KALI SANA .. HUYU SIMBA ANAPAMBANA NA JOKA LINALOMEZA WATU NA SI WANYAMA WENGINE, watu wanajua hili JOKA ni kubwa saaana! Wanapambana na wameamua kuliua hata Kwa kuliponda mkia Kwa mawe ya mbaaali na karibu
 
Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye ameumia kweli kweli., why Tanzania?
Wabongo tunakuwa mafala mpaka inapitiliza. Demokrasia zikizidi huambatana na uzuzu. Samia kaongea kwa ukali kwa sauti yenye mamlaka.

Ujinga wa maandamano yasiyokwisha apeleke kwao Nairobi na Kisumu, watanzania wanapiga kazi wala hawataki siasa za kushinda na mabango barabarani.
 
Back
Top Bottom