Kenyan, why Tanzania, lissu, and not kiiza besgye of uganda?

Tanzania kisiki cha mpingo hawataweza
Watanzania ni wakimya lakini sio wapole au wajinga.Ogopa mtu mkimya

Ukiona kobe yuko kimya anatunga sheria sio mjinga

Tatizo la baadhi ya wakenya hutuchukulia ukimya wa Watanzania kama ujinga lack of knowledge au education or stupidity

They are wrong

Siasa za Tanzania ziko so complicated kuzielewa Watanzania pekee ndio tunazielewa.Wa nje hawawezi
 
umeanza kwa kizungu alafu ukaja kuandika kwa kiswahili.Wanaotekwa na kusumbuliwa na ccm hapa TZ unajifanya ufahamu YA uganda utafahamu vipi mpaka uje kuhoji.mbona una maelezo mepesi kama pedi ya mkeo nyumbani
 
Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Halafu besigye alijificha kenya,askari wa uganda waliingia kenya na kumteka besigye,baada ya hapo besigye akuonekana tena mpaka siku alipopandishwa mahakama ya kijeshi uganda,ila wakenya wameuchuna,ingependeza waliamshe na kwa besigye kule.
View: https://youtu.be/Kgn1ud8gW0U?si=EkLmpTgoCawppKvr
 
umeanza kwa kizungu alafu ukaja kuandika kwa kiswahili.Wanaotekwa na kusumbuliwa na ccm hapa TZ unajifanya ufahamu YA uganda utafahamu vipi mpaka uje kuhoji.mbona una maelezo mepesi kama pedi ya mkeo nyumbani
Unajua besigye alitekwa na mu7 akiwa nchi gani?
 
umeanza kwa kizungu alafu ukaja kuandika kwa kiswahili.Wanaotekwa na kusumbuliwa na ccm hapa TZ unajifanya ufahamu YA uganda utafahamu vipi mpaka uje kuhoji.mbona una maelezo mepesi kama pedi ya mkeo nyumbani
Umewahi kuona mtanzania amekwenda Kenya
Alichukuliwa ndani ya Nairobi, nchini mwao, wamekaa kimya!(unafiki mtupu)
 



Kwani kiiza amefungwa?

Kwani kiiza amesingiziwa?
 
1. Lissu alipewa damu na wakenya ccm walipotaka kumuua, ni mwana afrika mashariki.
2. No Reforms No Election. Hii slogan inakubalika na wapenda haki afrika nzima.
 
Wewe ni sadist
 
K
Kweli
 
Umewahi kuona mtanzania amekwenda Kenya

Alichukuliwa ndani ya Nairobi, nchini mwao, wamekaa kimya!(unafiki mtupu)
Wale maria ndio anaowapump,maria anachokitaka kuiaminisha dunia TZ ni nchi isiyokua na amani hata kidogo,yule dada kavurugwa
 
Tena cha kusikitisha zaid kuusu unafiki wa awa Wa Kenya uyu Kiiza Besigye alifanikiwa kukimbia Majanga pale Uganda !!!!

Na kukimbia mateso kupitia mpakani Kenya vs Uganda!!!

Ni Serikali ya Kenya ndio ilimkamata tena na kumkabidhi kwa Maofisa wa Uganda tangu wamemkabidhi kwa Mapolisi wa Uganda adi leo Besigye yupo kolokoloni !!!!

awa ndio WaKenya leo wanashikiza jambo la Lisu liwe kubwa pengine tuwekewe vikwanzo !!!!

nyoyoo zao Chafu wanaona kwasasa Tanzania inapiga atua kubwa asa kwenye Utalii tumewapiga bao la kisigino!!! !!!!

Sisi tunawaeshimu lkn wao kimbelembele sana. !!!!

Tanzania inaenda kuwa Taifa kubwa Afrika mashariki!!!!

ikiwa wao sio waoga waje kuandamana kwaniaba ya LISU au CHADEMA !!!!

wataenda kuwaambia wenzao dhawadi watakazopewa.!!!

Polisi wetu awanaga neno na mtu waje wachukue dhawadi !!!!
 
Why Uganda and why not Tanzania? These tyrant leaders in our TZ gotta be squeezed, anything that can help to straighten up the devilish system that rules the country is very much needed no matter where it comes from.
 
Dunia Imebadilika mzee
We Kama una shughuli ya kukuingizia kipato ipambanie hiyo
 
Ujinga ni mzigo mzito, kichwa cha mjinga ni mzigo kwa kiwiliwili chake, bora ungepewa makalio tu ukanyimwa kichwa, kwa sababu kichwa chako haukitumii ibavyotakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…